Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Uchafu kama huu upo mwing sana lake zone upo toka mbeya inaitwa southern highlands haina ata 100miters za lami.

Kitu unapaswa kufaham ni uhitaji wa barabara mwanza ni mkubwa kuliko huko mapolin kwenu ni vile serikali inabusara inajitahid kubalance,ingekuwa si sawa kujenga mabarabara ya njia nne mpka sita at the same time mnajenga JP bridge, SGR,Meli,Airport and mengine mengi alaf huko polin wakawasubirisha.

Ni furaha yetu wanalake zone kuona baadhi ya vitu tuviache ili nanyie mpate.

TAARIFA: Garama za JP bridge zinatosha kuifanya southern highlands kusiwepo na barabara ya vumbi yeyote ile, inatosha kuifanya mbeya kama jiji la mchongo kuwa la kisasa, inatosha kuwajengea hospital za kisasa kila kata zenye uwezo wa kufanya uchunguz wa matatzo ya akili na chenji ikabaki.

Siku uko polini mkianza projects za mahela mengi kama hizi ndo mje kubwabwaja.

Saiv tupo busy na View attachment 2493741View attachment 2493747View attachment 2493748
Kwa hiyo Hilo daraja na limeli ndio Barabara za mitaa ya Miji yenu? 😂😂😂
 
Hahaha yaYan hii ni aibu tunavo sema hii ni manispaa ya mchongo tu yani miji saiz ni mwendo wa kupiga lami nyie mnaonesha changalawe km 1 Karne hii aibu Sana
Mambo ya Jiwe hayo ndio aliwafikisha huko..

Ukiwaambia watu wa Lake zone walete Barabara za mitaani kwao ni sawa na kuwapa ban humu jukwaani 😁😁
 
Ulikuwa unaulizia barabara, sasa unaanza kuulizia mwalo wa samaki?
Ukitoka hapo utarudi kwenye mabasi
Hapo umeleta vichochoro vya Mwalo wa Musoma,havina hata njia za watembea Kwa miguu..

Nataka Barabara Kali kama hizi 👇

IMG_20230123_181431_505.jpg
IMG_20230124_101123_714.jpg
IMG_20230124_100925_283.jpg
 
Back
Top Bottom