Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mkuu siku Moja pata muda upitie Njombe nje ya CBD huko Kuna mambo yanaendelea pengine kuliko mjini kati .Kuna makazi Bora yanachanua kwa kasi Njombe.Niseme kwa miaka miwili 2021 -2022 nimeshuhudia ushindani wa ajabu wa wananchi wa vijijini Kila kijana anatamani kujenga nyumba ya kisasa.Ujenzi wa Njombe sio rahisi hivyo. Ukiondoa tofari na mbao vingine ni ghari sana.
Poor reasoning Huwa ni tatizo linalokusumbua muda mrefu ...hyo sio sababu ya kusema ..kama ishu ni gharama za ujenzi iwe ni sababu, njombe na mtwara zingeongoza kwenye list Kwa sababu ujenzi kwenye mikoa hyo ni ch
 
Kwetu kunazidi kunoga,Fursa zinafunguliwa,Wakola lazima mlazwe pampa.

Miradi ya Barabara kede kede 👇

Fursa ipi sasa kwani hiyo Barabara inayopita mikumi, kitonga, mafinga, makambo, njombe, milima madaba hadi songea kupitia mshangano, msamala, bombambili, hadi songea mjini(majengo). Haikuwepo???. Mlikuwa mnasafiri kwa ungo au ndo kujitoa ufahamu.
 
Una akili timamau? Sawa ilikuwepo waambie basi watoa taarifa hapo kwamba wamekosea Kwa nini wanaitaja wakati ilikuwepo?
Huu ni Mwanzo tuu wa maumivu,na bado
 
Mnayebishana naye hajafika hata kanda ya Ziwa. Ruvuma sasa hivi inachangamshwa na watu toka kanda ya ziwa. Watu wa Ruvuma wazembe mno.
Kabla ya kwenda kujisifu Kwa kujamba hovyo Ruvuma ukitakiwa muondoe umaskini na ufukara uliotopea huko Kanda ya Ziwa mnakokula Albino🤣🤣

Kabla ya kwenda kujisifu Kwa kujamba hovyo Ruvuma ukitakiwa muondoe umaskini na ufukara uliotopea huko Kanda ya Ziwa mnakokula Albino🤣🤣

Umeweka na population ya Ruvuma? SIpendi kubishana na mbumbumbu mimi. Huko Songea nimekaa napajua. Wanaofanya kazi huko ni wageni either kutoka Mbeya au Kanda ya ziwa. Watu wa ruvuma ni wazembe sana.

Ukitaka kujua angalia size kwa eneo kwa mkoa linganisha na mikoa ya kanda ya ziwa.
 
Umeweka na population ya Ruvuma? SIpendi kubishana na mbumbumbu mimi. Huko Songea nimekaa napajua. Wanaofanya kazi huko ni wageni either kutoka Mbeya au Kanda ya ziwa. Watu wa mbeya ni wazembe sana.

Ukitaka kujua angalia size kwa eneo ya mkoa linganisha na mikoa ya kanda ya ziwa.
Mbumbumbu ni wewe ambae huelewi factor ya population kwenye uchumi.

Kama mnazaana kama simbilisi na hamzalishi mlitegemea nini?

Nani ambae haifahamu Ruvuma au Kanda ya Ziwa? Acha kukariri nguchiro..

Kabla ya kwenda kujamba Ruvuma ilitakiwa muondoe mabanda haya ya Nguruwe huko kwenu Usukumani😁😁😁😁
2.jpg
slum tourism mwanza.jpg
050e43a7b6747e4dfc68df1d24c07ee7--mwanza-tanzania-slums.jpg
 
Mbumbumbu ni wewe ambae huelewi factor ya population kwenye uchumi.

Kama mnazaana kama simbilisi na hamzalishi mlitegemea nini?

Nani ambae haifahamu Ruvuma au Kanda ya Ziwa? Acha kukariri nguchiro..

Kabla ya kwenda kujamba Ruvuma ilitakiwa muondoe mabanda haya ya Nguruwe huko kwenu Usukumani😁😁😁😁View attachment 2492551View attachment 2492552View attachment 2492553
Yaani kwa akili yako unataka ulinganishe Mwanza na Ruvuma. Hivi upo sawa kweli kichwani?
Mwanza-erial-2.jpg

Haya hebu tuambie vyanzo vya mapato vya Ruvuma
 
Mikdde naomba utupie hile current ya kipato cha mtu mmoja mmoja per capita income, tumuoneshe hii ndezi ya njombe.
 
Yaani kwa akili yako unataka ulinganishe Mwanza na Ruvuma. Hivi upo sawa kweli kichwani?
Mwanza-erial-2.jpg

Haya hebu tuambie vyanzo vya mapato vya Ruvuma
Hii picha ni ya kitambo hapo mjini kati kila eneo ni magorofa kama yote mkuu, japo ata hii picha uliyoweka lakini inakalisha miji yote ya nyanda za juu kusini ukijumlisha na jiji lao la viazi mviringo.
 
Igogo uswahili jiji mwanza inatosha kuingamiza mbeya cbd yote na ikabaki na change kwa idadi ya magorofa
IMG_20201028_010350-01.jpg
 
Mbumbumbu ni wewe ambae huelewi factor ya population kwenye uchumi.

Kama mnazaana kama simbilisi na hamzalishi mlitegemea nini?

Nani ambae haifahamu Ruvuma au Kanda ya Ziwa? Acha kukariri nguchiro..

Kabla ya kwenda kujamba Ruvuma ilitakiwa muondoe mabanda haya ya Nguruwe huko kwenu Usukumani😁😁😁😁View attachment 2492551View attachment 2492552View attachment 2492553
Leta picha za sasa za hapo mabatini, unakimbilia Google kutafuta excuses za picha za miaka ya 1990, na bado mnaziongezea filter mbaya ili pazidi kuonekana ovyo😂😂😂😂.
 
Back
Top Bottom