Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Una akili timamau? Sawa ilikuwepo waambie basi watoa taarifa hapo kwamba wamekosea Kwa nini wanaitaja wakati ilikuwepo?
Huu ni Mwanzo tuu wa maumivu,na bado
Nyie hata muwe na bara bara kumi na nne za kwenda ruvuma ila hazitasaidia kitu wewe. Mikoa yote tunaifaha acha kujitia ujinga. Sehemu za maana kusini ni mbalali, tunduma , kyela na kidogo kule nyasa mbamba bay. Nako Wana lake zone ndo Wana drive uchumi wa maeneo hayo.
 
Nyie hata muwe na bara bara kumi na nne za kwenda ruvuma ila hazitasaidia kitu wewe. Mikoa yote tunaifaha my acha kujitia ujinga. Sehemu za maana kusini ni mbalali, tunduma , kyela na kidogo kule nyasa mbamba bay. Nako Wana lake zone ndo Wana drive uchumi wa maeneo hayo.
Wivu wenye mchanganyiko na maumivu na chuki 😁😁

Flash your hate hapa kwenye Barabara Kali za Nyanda za Juu Kusini 👇
mbeya_buses_1674386689119998.jpg
20230123_124510.jpg
20230123_093338.jpg
20230123_112152.jpg
20230123_172809.jpg
20230123_113527.jpg
 
Life wapi wewe. Hebu tuonrshe nyumba za wakazi wa Ruvuma.
Coal haiwezi kumfaidisha mtu mmoja mmoja hata siku moja. Usitudanganye. Hebu onesha nyumba za wakazi wa Ruvuma kisha tukuoneshe Nyumba za wakazi wa Kanda ya Ziwa.
Msifike huko yaani picha za mwanza tupost kwenye page hii ya kipumbavu, si tutakuwa na sisi zimetutoka
 
Utakuwa huelewi, Uchumi wa mikoa yetu hautegemei kitu kikoja Bali vitu vingi.

Kwenye hivyo vitu vingi tunajali productivity kuliko quantity..
By the way Mikoa yenu hamjui kulima ila kuparua Ardhi.

Ukitaka kujifunza Kilimo njoo Arusha,Manyara,Mbeya,Njombe, Morogoro,Pwani,Iringa na Dodoma.
Umeshindwa justify kwa takwimu halafu Bado unaongea sorry kumbe umetapika nisamehe
 
Back
Top Bottom