Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kilimo cha nini mzee. Kanda ya ziwa hawajui hata mchele wenu wa mbeya. Huna exposure
Mbona wewe ni kilaza sana?
Mbeya inaongoza Kwa Kilimo Cha pareto,

Mbeya Ina mazao ya biashara kama chai na kahawa,Kakao,kokoa

Mbeya Ina Kilimo Cha mazao ya mboga mboga kama parachichi,viazi,ndizi,maharage,soya nk,

Mbeya inafanya vizuri mazao ya Chakula,mchele na mahindi nk(mchele Wetu ni grade ya Juu nyie maskini hamna pesa za kununua tuna export),

Biashara anuwai

Mbeya Ina Madini ya dhahabu na makaa ya mawe,neobeum,Natural Carbon dioxide, geothermal nk

Mbona wewe ni kilaza sana?
Mbeya inaongoza Kwa Kilimo Cha pareto,

Mbeya Ina mazao ya biashara kama chai na kahawa,Kakao,kokoa

Mbeya Ina Kilimo Cha mazao ya mboga mboga kama parachichi,viazi,ndizi,maharage,soya nk,

Mbeya inafanya vizuri mazao ya Chakula,mchele na mahindi nk(mchele Wetu ni grade ya Juu nyie maskini hamna pesa za kununua tuna export),

Biashara anuwai

Mbeya Ina Madini ya dhahabu na makaa ya mawe,neobeum,Natural Carbon dioxide ,

Kilimo gani unakiongelea wewe mshamba?

1674475625930.png
 
Hapa mpaka ukimbie. Maana ushamba umekujaa. Check mikoa ya kanda ya ziwa ilivyojazana, kilimo cha mpunga

View attachment 2492663
Nyuma ya Morogoro umeona Mkoa gani? 😁😁

Mbaya zaidi Mikoa yenu Haina uhakika wa Kilimo Cha mpunga sababu ya ukame,mvua zikinyesha mnaivisha zikizingua mnaugulia kama mwaka uliopita ila Nyanda za Juu Kusini Toka umezaliwa umewahi sikia hakuna mvua?
 
Unapelekewa moto mpaka unatafuta excuses😜😜😜😜😜
 
Back
Top Bottom