Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Utakuwa huelewi, Uchumi wa mikoa yetu hautegemei kitu kikoja Bali vitu vingi.

Kwenye hivyo vitu vingi tunajali productivity kuliko quantity..
By the way Mikoa yenu hamjui kulima ila kuparua Ardhi.

Ukitaka kujifunza Kilimo njoo Arusha,Manyara,Mbeya,Njombe, Morogoro,Pwani,Iringa na Dodoma.
Mbeya inapumulia mpira

1674476852448.png
 
Yani Mwanza inayolisha East Africa ulinganishe na Ruvuma. Huu ni wehu wa hali ya juu.
Mwanza inalisha EAC kitu gani? Punguza uzwazwa basi..

Ruvuma pekee Serikali inajengwa Vihenge vya Kisasa Sillos 13,hakuna sehemu nyingine Kuna storage kubwa.

You know why Kwa sababu Ruvuma ndio baba Yao kwenye Mahindi Tanzania hapa.
 
Mbeya inatia huruma. Usituchangaye. Tunaongelea kilimo na ufugaji.

1674477004889.png
 
Mwanza inalisha EAC kitu gani? Punguza uzwazwa basi..

Ruvuma pekee Serikali inajengwa Vihenge vya Kisasa Sillos 13,hakuna sehemu nyingine Kuna storage kubwa.

You know why Kwa sababu Ruvuma ndio baba Yao kwenye Mahindi Tanzania hapa.
Kiwanda kikubwa cha kukoboa mazao ya nafaka na kuhuza proccesed food kwanini kimejengwa Mwanza, mikoa ya kanda ya ziwa huwa inajitosheleza kwa mazao yao wenyewe haitegemei msaada wala mbeleko ya mikoa mingine.
 
Kwimba sawa na Bahi full ukame,Mbeya Haina ukame wewe ndege John
Ogopa sana sehem inaukame alaf production ya mazao shamban iko juu kuliko sehem isiyo na ukame Parachichi wew .

Sehem hamn ukame alaf mnazidiwa uzalishaji mazao na sehem yenye ukame, ni vile tu sina mamlaka ningetuma JWTZ waje huko ni viboko mbele mbele yao.
 
Mikoa yao ni ya watu wavivu, hiyo ardhi yao ingekuwa pale kwimba au shinyanga hakika hii nchi ingeuza sana mazao ya kilimo nje ya nchi na surplus ingekuwepo ya kutosha.
 
Karibuni kwenye mada.

Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.

Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Siku nyingine usirudie kuilinganisha kahama na vitu vya ajabu ajabu! Unasikia!?
 
Ogopa sana sehem inaukame alaf production ya mazao shamban iko juu kuliko sehem isiyo na ukame Parachichi wew .

Sehem hamn ukame alaf mnazidiwa uzalishaji mazao na sehem yenye ukame, ni vile tu sina mamlaka ningetuma JWTZ waje huko ni viboko mbele mbele yao.
Unfortunately you can't change the nature,itabakia hivyo.

Mwisho angalia mnalima ekari ngapi na productivity per acre ikoje ndio urudi kujifariji
 
Back
Top Bottom