Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Takataka,mtasubiria sana maana hata hata Moshi inasubiria kuitwa Jiji
Ndani ya miaka miwili au mitatu nitakutafuta, ngoja sgr, ngoja daraja la kigongo busisi, ngoja bandari kubwa pale fela na subiri mega mall complex na chuo kikuu cha TIA, na vyuo vingine shirikishi wamalizie ujenzi, ndo utakuja kuongea utumbo wako humu.
 
Miradi mikubwa hupelekwa kwenye mikoa mikubwa ..
Kazi inaendelea kwenye hii miradi
JPM bridge -=700 bilion value
,mv mwanza =bilion 80 value
Mradi wa maji =bilion 300
Stendi ya nyegezi =bilioni 16
Jengo la abiria terminal 1 =bilion 12
Soko kuu =bilion 15
JUMLA = trilion 1.13

Wakati miradi yote nyanda za juu haifikii hata milion 500
Na hapa nimezungumzia mkoa mmoja ..
Nyie endeleeni kushangilia barabara ya kasumulu View attachment 2482601View attachment 2482603View attachment 2482605View attachment 2482614View attachment 2482617View attachment 2482619View attachment 2482621
Soko kuu ni 21b
 
Ndani ya miaka miwili au mitatu nitakutafuta, ngoja sgr, ngoja daraja la kigongo busisi, ngoja bandari kubwa pale fela na subiri mega mall complex na chuo kikuu cha TIA, na vyuo vingine shirikishi wamalizie ujenzi, ndo utakuja kuongea utumbo wako humu.
Unavyovitaja viko Misungwi? Au umechanganyikiwa?

Misungwi tunayoijua ni hii iliko Halmashauri sio huko Usagara
 
We chawa wa mama ...Leo unakataa Usagara sio misungwi ..ila siku nikiiweka mwanza unalalamika unasema ni misungwi ..chawa mama mna shida sana
Huwa unakurupuka sana wewe MNEC feki,nani amesema hayako Misungwi?

Nimesema Yako pembezoni mwa Jiji la Mwanza Sasa yatasaidia vipi Misungwi ya kule Misasa kuwa Manispaa?

Hata mapato kifuchu wanayopata Misungwi yanatoka huko huko ila kule kwao kwenye Halmashauri ni maporini tuu hamna kitu.
 
Kwa taarifa yako kutoka mwanza Hadi usagara ni km 25 ,kutoka misungwi Hadi usagara ni km 20 ....
Utolewaji wa Manispaa kaangalie miji ya kigoma na ujiji.au mtwara na mikindan
 
Huwa unakurupuka sana wewe MNEC feki,nani amesema hayako Misungwi?

Nimesema Yako pembezoni mwa Jiji la Mwanza Sasa yatasaidia vipi Misungwi ya kule Misasa kuwa Manispaa?

Hata mapato kifuchu wanayopata Misungwi yanatoka huko huko ila kule kwao kwenye Halmashauri ni maporini tuu hamna kitu.
Mapori tena hiyo misungwi ni ya henzi za nyerere, karibu misungwi karibu copenhagen.
 
Kigoma na mtwara zilipewa manispaa Kwa kujumlishwa miji miwili tofauti...kigoma ilijumlishwa na ujiji . mtwara ilijumlishwa na mikindani ...hata misungwi itajumlishwa na Usagara i itakuwa manisapa
Kwa hiyo hayo maeneo yapo zaidi ya km 20 apart kama ilivyo Kwa hicho Kijiji Cha Misungwi?
 
Back
Top Bottom