Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Wacha Sumbawanga iendelee kuwapelekea moto tuu Hadi Mkimbie jukwaa.šŸ”„šŸ”„šŸ”„

Siku mkijenga Barabara Kali kama hizi ndio mje kushindana na SumbawangašŸ‘‡
IMG_20230115_112523_071.jpg
IMG_20230115_112910_697.jpg
IMG_20230115_112616_264.jpg
IMG_20230115_114113_114.jpg
IMG_20230115_114322_626.jpg
IMG_20230115_115323_280.jpg
 
Wacha Sumbawanga iendelee kuwapelekea moto tuu Hadi Mkimbie jukwaa.šŸ”„šŸ”„šŸ”„

Siku mkijenga Barabara Kali kama hizi ndio mje kushindana na SumbawangašŸ‘‡ View attachment 2485590View attachment 2485591View attachment 2485592View attachment 2485593View attachment 2485594View attachment 2485595
Huna exposure wewe, wenzio huko tushatoka miaka mingi. Kadiria kiwango Chako cha uazimu mkuu utakuwa chizi usipokuwa makini. Nakutahadharisha tušŸ˜€šŸ˜€šŸ˜€
 
Huna exposure wewe, wenzio huko tushatoka miaka mingi. Kadiria kiwango Chako cha uazimu mkuu utakuwa chizi usipokuwa makini. Nakutahadharisha tušŸ˜€šŸ˜€šŸ˜€
Hunaga hoja zaidi ya matusi.Nasisitiza Kanda ya Ziwa yote hakuna Barabara Kali kama za swax.

Endeleeni kuumia ,Swax kunazidi kuchašŸ‘‡
IMG_20230115_114918_741.jpg
IMG_20230115_115523_194.jpg
IMG_20230115_141423_683.jpg
IMG_20230115_141111_632.jpg
IMG_20230116_103439_140.jpg
IMG_20230116_172640_362.jpg
IMG_20230115_141731_382.jpg
IMG_20230115_114826_381.jpg
 
Agricultural town inajulikana, serikali haiwezi invest kwenye irrigation scheme kwa mji kama Kahama. Huku tunaangalia logistic, financial hub na kuweka miundo mbinu ya kubeba hizo shughuli.
Nimecheka eti logistics and such upuuzi 🤣🤣.

Logistics ipi iliyopo Kahama kuisidi Tunduma lango kuu la SADC?
 
Mbeya mjini mpaka leo mnalilia maji??šŸ˜›šŸ˜›šŸ˜›šŸ˜›
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya filauni mapank.

Yaani unashangaa Mbeya jiji ambao hawana Ziwa Wala Mto mkubwa uache kushangaa Mwanza na Lake zone yote inayozungukwa na Ziwa Kwa 70% yet hawana maji ya kunywa?šŸ˜‚šŸ˜‚

Acha vioja leta hoja šŸ‘‡
 
Kwa miji yenu ata mkipata tuvimiradi twa nyumba kama hizi lazima uringe, lakini huku tuipost nyumba kama zako unazopost itakuwa ni kujishushia heshima.
 
Back
Top Bottom