The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Mlitoka lini wewe pimbi Kila siku unalia lia humu na kuomba lami? Ziko wapi?Unaongelea vibarabara vya lami wakati wenzio walishatoka huko, sasa tunawazia megaproject tu, hivyo vimradi vya barabara huwa tunajenga wenyewe kwa mapato yetu😝😝😝😝😝😝😜😜
Mngekuwa na lami huko Wilayani tusingekunywa maji.
Niulize hivi pale Misungwi Kuna lami hata ya km 2 mjini maana last time kulikuwa mavumbi tupu.
Endelea kuugulia maumivu 👇





