Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,297
- 8,187
Nimeelewa ndio maana inaitwa kigoma ujiji na mtwara mikindani.🙏🙏🙏🙏Kigoma na mtwara zilipewa manispaa Kwa kujumlishwa miji miwili tofauti...kigoma ilijumlishwa na ujiji . mtwara ilijumlishwa na mikindani ...hata misungwi itajumlishwa na Usagara i itakuwa manisapa