The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
MNEC π€£π€£π€£π€£,Mwanza,Kigoma,Tabora,Mpanda,Mbeya nk kote Kuna reli ,vipi uchumi haukugunguka kisa sio Sgr? ππππWe jamaa ni primitive Sana ..reli ndio njia rahisi ya kufungua uchumi ,kuliko hizo barabara..china sio wapumbavu kujenga high speed rail way gauge ,,,Kwan pesa za barabara hawana
Hizo reli za wakoloni ambazo Most ziko dormant.......MNEC,Mwanza,Kigoma,Tabora,Mpanda,Mbeya nk kote Kuna reli ,vipi uchumi haukugunguka kisa sio Sgr?
Hii ni habari ya lini kamanda wangu isije kuwa chawa wapenda sifa.Mabilion yanazidi kumwagwa hukuView attachment 2480584
Hii habari imetokea na chawa ila Ina ukweliHii ni habari ya lini kamanda wangu isije kuwa chawa wapenda sifa.
Wewe ni mzigo mkubwa sana kwenye Nchi na familia..Hizo reli za wakoloni ambazo Most ziko dormant.......
Hata hvyo uwepo wa reli kigoma umesaidia kufunguka Kwa bandari ya kigoma ,na kalemi,.
Uwepo wa reli umepafanya shinyanga isaka kuwa ICD bandari kavu ya mizigo kwenda rwanda na Burundi .
Uwepo wa reli umepafanya mwanza kuwa na bandari ya kupeleka mizigo Uganda ...
The same applies Kwa miji ya makambako ,itigi,tabora ,nk ambayo imekua Kwa sababu ya reli
Kabisa mkuu kama hakuna mtu kwenye mfumo lazim utasahaulika tu kwa mfumo wetu.Kwa nchi Yetu mambo yako hivyo...ukikosa mtetezi utasahaulika kabisa....
Serikali iko busy na Dar na Dodoma huko...
Ndo maana nasaport mfumo wa majimbo asilimia mia..
Mfumo wa utawala wa majimbo ndio tiba.Kwa nchi Yetu mambo yako hivyo...ukikosa mtetezi utasahaulika kabisa....
Serikali iko busy na Dar na Dodoma huko...
Ndo maana nasaport mfumo wa majimbo asilimia mia..
Na bajeti tyr imeshapitishwa mkuu.Hii habari imetokea na chawa ila Ina ukweli
Miji inakua bwana ulinganisha na wapi maana saiz njombe na makambako zimetenganishwa na msitu wa tanwat ambao ni km 19 tu na around msitu tayar watu wamesha Jenga nyumba za kutosha na ujue makambako to njombe ni km 59 kmJuzi nimepita Makambako nikalala Njombe mjini Bado kazi kubwa kuwa miji mikubwa ingawa inakua Kwa kasi
Tunaweza tusihitaji majimbo ila tukawa na kanuni ya mgawanyo wa rasilimali za Nchi kuliko kutegemea utashi wa viongozi..Kabisa mkuu kama hakuna mtu kwenye mfumo lazim utasahaulika tu kwa mfumo wetu.
Hivyo haviwez kuzingatiwa ni bora tujigawe kila mtu ale alichotafuta na kinachopatikana kwenye maeneo yao tumechoka huu ujinga wa serikali yenu.Tunaweza tusihitaji majimbo ila tukawa na kanuni ya mgawanyo wa rasilimali za Nchi kuliko kutegemea utashi wa viongozi..
Mfano vigezo vya population,nature of terrain,hali ya maisha ya watu nk
Kwani si ndio mfumo tunaotumia sa hv ...vip efficiency na effectiveness yakeTunaweza tusihitaji majimbo ila tukawa na kanuni ya mgawanyo wa rasilimali za Nchi kuliko kutegemea utashi wa viongozi..
Mfano vigezo vya population,nature of terrain,hali ya maisha ya watu nk
Miradi kama hii ipo inajengwa karibu kila kata,Kila kata wanajenga soko,stand ya kisasa ya hiace&bajaji,bustani za kisasa za kupumzikia
Tactic itafanya shy town na kahama itembee kifua mbele, kuliko wale wakulima wa maparachichi.
Ulishapita na dhima kuu ilikuwa na kupata mrejesho wa uwekezaji wa liganga na mchuchuma.Njombe aka green gold city wazee wa vitendo lazima uwekezaji uende mara mbili yake
View attachment 2480961View attachment 2480962
YAh niliusikiliza maana ulikuwa liveUlishapita na dhima kuu ilikuwa na kupata mrejesho wa uwekezaji wa liganga na mchuchuma.
Hakuna Wilaya isiyo na lami MbeyaKwan mbeya Kila wilaya zinajengwa lami ....
Hata hivyo mwanza ni maJimbo mawili tu ya sumve na buchosa ndio hakujaunganishwa lami .. kwingine kote lami
Wewe Mbeya huijui,kote huko kuna lami,Busokelo Iko Rungwe na ukiacha ya TanRoads,Tarura wamejenga lami mpya..Busokelo Kuna lami,,,,ileje je