Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,242
- 8,117
Ili jiji lina safari kubwa kwa kweli sanki farasi ulitutia aibu😁😁😁😁😁😁😁View attachment 2446177
Hiyo ndio picha aliyoweka kwenye uzi wenu wa dar vs nairobi, wakamuuliza wakenya mbona mji hauna ata barabara za kupitisha pikipiki kwahiyo wanajenga wakiwa hawana hitaji la magari wala chombo chochote cha usafiri?