intelligent man
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 706
- 1,126
Iringa ni kama mtt wa mwanza sema kamji ni kadogo sana
Iringa geographic yake inaifanya isikue ..kule Kuna milima hasa ,mwanza ikasomeIringa ni kama mtt wa mwanza sema kamji ni kadogo sana
Usilinganishe Iringa na matakataka haya 👇Iringa ni kama mtt wa mwanza sema kamji ni kadogo sana
Ni kweli kabisa siwez ilinganisha iringa na mauchafu hayaUsilinganishe Iringa na matakataka hayaView attachment 2447271View attachment 2447272View attachment 2447273View attachment 2447274View attachment 2447275

😂😂😂😂 Hiyo Ni view Kali Sana Sasa hapo Kuna uchafu gani?Ni kweli kabisa siwez ilinganisha iringa na mauchafu hayaView attachment 2447286View attachment 2447287View attachment 2447288View attachment 2447289View attachment 2447290
Endelea kuhangaika .... battle ya mwanza huiwezi ...Hiyo Ni view Kali Sana Sasa hapo Kuna uchafu gani?
. simiyu Kuna utofauti mkubwa kati ya mwanza na mbeya .na utofauti uko hapa ...Hiyo Ni view Kali Sana Sasa hapo Kuna uchafu gani?

Kumbe informal settlement za Igogo ni rich neighbourhood MbeyaNi kweli kabisa siwez ilinganisha iringa na mauchafu hayaView attachment 2447286View attachment 2447287View attachment 2447288View attachment 2447289View attachment 2447290
Mbeya Mwnza Ina mabasi makali.kuliko Dar Mwanza 😂😂.Via mbeya ...kama via ni kitu Cha kuringia .bas morogoro na kibaha wanapaswa kuringa sana maana wana via route nyingi San
Anyway..mwamba huyu hapa![]()
Mwanza to Kampala View attachment 2446831View attachment 2446832View attachment 2446833View attachment 2446836
Mbeya Mwnza Ina mabasi makali.kuliko Dar Mwanza 😂😂.
Fikoshi Investment 👇View attachment 2449493View attachment 2449494
Unajivunia chuma ya msukuma huyo tena wa Mwanza anaitwa SHILATU! Wewe baki kubwabwaja!Mbeya Mwnza Ina mabasi makali.kuliko Dar Mwanza 😂😂.
Fikoshi Investment 👇View attachment 2449493View attachment 2449494
Hii ni barabara ya Nyerere mwanza
Ni 15km kutoka Nyamongholo mpaka mwanza mjini,.
Sunk enjoy,
Haijalishi Ni ya msukuma wa Mwanza au wa Majimoto swala.la msingi analeta chuma Kali Mbeya maana anafahamu sie Ni wastaarabu huwa hatupandi mikokoteni au matrekta mnayoita mabasi 😂😂Unajivunia chuma ya msukuma huyo tena wa Mwanza anaitwa SHILATU! Wewe baki kubwabwaja!
Huyu jamaa akidumu miezi 3 tuu nitaomba life ban kwa jf,anaowapelekea luxury wamezoea kupanda mikokoteni na hawana Pesa.
Someni wenyewe maskini hao ndio watalipa nauli 120,000?View attachment 2450063View attachment 2450064View attachment 2450065


endelea kutokokota Kwa wivu 


Kwani ndege tunalipa kiasi gani na hazichi kwenda?Huyu jamaa akidumu miezi 3 tuu nitaomba life ban kwa jf,anaowapelekea luxury wamezoea kupanda mikokoteni na hawana Pesa 😁😁😁.
Someni wenyewe maskini hao ndio watalipa nauli 120,000? 🏃🏃View attachment 2450063View attachment 2450064View attachment 2450065
Hii ni pride of mwanza.the rock city ....huku purchasing power ni kubwa kuliko huko zizini mbeya .....ndo maana ndege zinafanya safari Kila siku asubuhi na JioniHuyu jamaa akidumu miezi 3 tuu nitaomba life ban kwa jf,anaowapelekea luxury wamezoea kupanda mikokoteni na hawana Pesa.
Someni wenyewe maskini hao ndio watalipa nauli 120,000?View attachment 2450063View attachment 2450064View attachment 2450065


