Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Utalii ndani ya ziwa,
Pic 2 za Kwanza ndo currently izo zengne umefoogle za Ktambo elewa
Asaa ii ya Mwaka ganPia mimi nakumbuka, nimesoma kweny ATLAS 2020, Kila kanda naijua kichwani na mikoa yake yote
Hata Google inathibitishaView attachment 2444115View attachment 2444116
View attachment 2444117
Unaokota Pic za Karne hukoo asaa 2016Mwanza CBD 😁😁View attachment 2444593
Njoo na Current issues unatuletea taarifa za 2015-16😜😜😜 Endelea kuruka ruka 70% ya Mwanza Ni mabanda ya nguruwe 👇View attachment 2444613
Wewe ndio Leta picha ya tofauti Sasa badala ya kulia liaNjoo na Current issues unatuletea taarifa za 2015-16
Tuletee ya za 2022 tuoneUnaokota Pic za Karne hukoo asaa 2016
Among my favourite places
Busan...,,, karibu city bwanaAmong my favourite places

jamaa kazingua sana tena slums kama zile akazipeleka kwenye battle kubwa kama ile, huyu jamaa kuna muda dishi linayumba.Hivi Sunk the Fala anaakili kweli kubeba Vipicha vya ajabu ajabu vya Mbeya na kupeleka kwa Battle ya Dar vs Naiporini ili kututia aibu ni nini?, Mwambieni awe anaangalia Picha za kpost bhana. Ile si alituambia ni CBD🤣🤣🤣🤣 nami ntapigilia misumariii
Naona nyie pumpkin heads mnajaribu kufarijiana,tokenj kwenye mabanda ya nguruwe mpate akili..😁😁.jamaa kazingua sana tena slums kama zile akazipeleka kwenye battle kubwa kama ile, huyu jamaa kuna muda dishi linayumba.
Tukiwanyea kwenye per capita income na GDP mnaanza kutqfutana na kukimbilia kuuliza CBD 😂😂.Busan...,,, karibu city bwana![]()
Mbeya City,evening mode 👇Hivi Sunk the Fala anaakili kweli kubeba Vipicha vya ajabu ajabu vya Mbeya na kupeleka kwa Battle ya Dar vs Naiporini ili kututia aibu ni nini?, Mwambieni awe anaangalia Picha za kpost bhana. Ile si alituambia ni CBD🤣🤣🤣🤣 nami ntapigilia misumariii
Kumbe ulionaHivi Sunk the Fala anaakili kweli kubeba Vipicha vya ajabu ajabu vya Mbeya na kupeleka kwa Battle ya Dar vs Naiporini ili kututia aibu ni nini?, Mwambieni awe anaangalia Picha za kpost bhana. Ile si alituambia ni CBD🤣🤣🤣🤣 nami ntapigilia misumariii
Kidogo hapo .Pana umjini ..lakin Kwa iringa pakasome



Kusini Kumetengwa 😂😂😂😂