The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,968
Stand ya Mabasi Kahama kule gold inatoka ππππππππ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺ
Si bora kahama [emoji28][emoji28][emoji116]Stand ya Mabasi Kahama kule gold inatoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]View attachment 2443477
Ila Hakuna mavumbi kama ya Kahama ππππSi bora kahama [emoji28][emoji28][emoji116]
Mbeya city beby[emoji16][emoji16]View attachment 2443483
Mbona unaangalia milima tu ..au hujui hata rio de Janeiro Kuna vilima vya makazi . anyway..sa hvi mwanza makazi ya milimani ni just 25 percent...asilimia 65 ni tambalale safi na mji umekua sana , tofauti na zamani ambapo makazi ya milimani yalikuwa 70 percent ya jiji .[emoji116][emoji116][emoji116]Kama Mwanza wasingeharibu vile vimilima kwa mabanda ya nguruwe Basi wangekuwa na mandhari safi Kama hii hapa [emoji116]View attachment 2443481View attachment 2443482
Bora hata Uyole kuliko hiyo slum inaitwa NyakatoπMbona unaangalia milima tu ..au hujui hata rio de Janeiro Kuna vilima vya makazi . anyway..sa hvi mwanza makazi ya milimani ni just 25 percent...asilimia 65 ni tambalale safi na mji umekua sana , tofauti na zamani ambapo makazi ya milimani yalikuwa 70 percent ya jiji .[emoji116][emoji116][emoji116]
VISIT NYAKATO MWANZA [emoji91] [emoji91][emoji91]View attachment 2443492View attachment 2443493View attachment 2443495
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]unajifariji eti ehBora hata Uyole kuliko hiyo slum inaitwa Nyakato[emoji116]View attachment 2443499View attachment 2443501View attachment 2443502
Fika hapa kwanzaPrivate Schools in Mbeya CC Instanbul [emoji116]View attachment 2443485View attachment 2443486
Mbeya hakuna crossing lightsKwan yeye intelligent anasema street lights au anasema traffic lights... Kila eneo mwanza Kuna crossing lights,anzia Usagara Hadi mjini ...na traffic lights zipo nyakato, buzuruga,nela,Kona ya bwiru, pasiansi,nata , Nyerere road,na junction ya pamba na Nyerere...
Hamna ,..wanazidiwa Hadi na babati .. wangekuwa nazo tungekoma ndani ya huu uziMbeya hakuna crossing lights
Una chagua nyumba moja moja nzuri zuri ndio unapiga picha kama afanyavo farasiπ€£π€£[emoji16][emoji16][emoji16] rafiki angu kitombile.hiv mji kama haupendezi ,unapigaje picha
Haya majengo yatajengwa nchi nzima ni ramani moja yanafanana kila ktuAcha uongo hapo ni Kigoma
Usiishi kwa kukariri hayo majengo yamejengwa mikoa mingi, ikiwepo na mkoa wa Mara/ ArAcha uongo hapo ni Kigoma
Ruvuma ipo nyanda za juu kusiniRuvuma ni Kanda ya Kusini, yaani kundi moja na Lindi na Mtwara, kiufupi kanda ya Kusini ina mikoa mitatu
Nyanda za juu Kusini ina Mbeya, Njombe, Iringa, Songwe na Rukwa.
ππ Sasa hapo Kuna kipi Cha kuzidi Uyole?[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]unajifariji eti eh
[emoji382][emoji382][emoji382]
Nyakato huwezi fananisha na kutu street hyo [emoji706][emoji706][emoji706][emoji116][emoji116][emoji16]View attachment 2443507View attachment 2443508View attachment 2443510View attachment 2443511