The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,968
😜😜😜 Endelea kuruka ruka 70% ya Mwanza Ni mabanda ya nguruwe 👇nikutoe ujinga hapo ni mabatini na hizo ni kotaz za line police.
😜😜😜 Endelea kuruka ruka 70% ya Mwanza Ni mabanda ya nguruwe 👇nikutoe ujinga hapo ni mabatini na hizo ni kotaz za line police.
achana na mihemko ya watu karibu mwanza kijana😜😜😜 Endelea kuruka ruka 70% ya Mwanza Ni mabanda ya nguruwe 👇View attachment 2444613
Siwezi ishi kwa waathirika wa kansa na ualbino 👇achana na mihemko ya watu karibu mwanza kijana
hii tampere itafanya mwanza ifanane na oslo, norway.Mwanza ya mabanda ya nguruwe 😁😁View attachment 2444614View attachment 2444615
Oslo ya hivi labda 👇hii tampere itafanya mwanza ifanane na oslo, norway.
angekuja na facts sio mdomo tu, bugando inahudumia mikoa mingapi?, kwanini saratani inawapata sana wakina mama kwa 89% prevalence? kama maji yanachangia kwanini sio wanaume? wanasiasa wengi wana ubongo wa samaki.Siwezi ishi kwa waathirika wa kansa na ualbino 👇View attachment 2444616
utarudia sana hizo picha hauna kingine cha kupost pole sana na green city yenu kashindaneni na tandahimba.
Kanda ya Ziwa Kuna saratani mnatumia maji ya maiti 😆😆😆😆.angekuja na facts sio mdomo tu, bugando inahudumia mikoa mingapi?, kwanini saratani inawapata sana wakina mama kwa 89% prevalence? kama maji yanachangia kwanini sio wanaume? wanasiasa wengi wana ubongo wa samaki.
Mafukara mnaishi kwa tabu Sana na hizo dream houses zenu.utarudia sana hizo picha hauna kingine cha kupost pole sana na green city yenu kashindaneni na tandahimba.
na hii barabara kwa taarifa yako ilishajengwa kwa kiwango cha lami hapo mabatini kama unaenda parokia ya mabatini pole sana leta picha za sasa acha kugoogle.
Barabara ndio inaondoa uswazi 😜😜na hii barabara kwa taarifa yako ilishajengwa kwa kiwango cha lami hapo mabatini kama unaenda parokia ya mabatini pole sana leta picha za sasa acha kugoogle.
na wanasiasa wetu karibu wote nao wana akili na mawazo kama yako hakika ili taifa lina safari ndefu kwa vilaza kama nyie kuongoza wananchi.Kanda ya Ziwa Kuna saratani mnatumia maji ya maiti 😆😆😆😆.
Acheni ushirikina nyie mafukara wa kwenye mabanda ya nguruwe
na hapo kwa mbele kwenye uswazi huyo kuna bonge la hospitali la ghorofa sita la hurumia watoto hospital lilishajengwa kaa na ujinga wako Mwanza sio size yenu.Barabara ndio inaondoa uswazi 😜😜
Uswazi Kama kawa at the background 😁😁😁😁.View attachment 2444647
Mwanza cbd
Uswazi Kama kawa at the background 😁😁😁😁.
Ili Kuficha aibu umeona upoge picha ya keep left 😆😆😆😆View attachment 2444673
Mwanza cbd
Ili Kuficha aibu umeona upoge picha ya keep left 😆😆😆😆