Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Ona Sasa umeshaanza kushikwa na kiwewe Cha chuki😁😁😁😁.

Nimepost majengo zaidi ya 20 kutoka mtaa mmja sasa sijui unaweweseka na Nini 😂😂.

Naendelea kukuletea picha kutoka the same mtaa wa Iwambi/Ituka View attachment 2443197View attachment 2443198View attachment 2443199View attachment 2443200View attachment 2443201View attachment 2443202View attachment 2443203View attachment 2443204View attachment 2443205View attachment 2443206View attachment 2443207this time from sopesya company 👇
Udumavu uliosababishwa na lishe hafifu ilikuathiri toka utotoni, wenzako wanaleta picha real ww unaleta michoro.
 
Kwani Mbeya mliambizana majengo mwisho 5f?
Anza kuhesabu hapa chini 👇
that_mbeya_guy_1670686060850788.jpg
20221127_143717.jpg
2940502_mdopeiddehotel_tz-___CTujdtdtA1K___-.jpg
Screenshot_20221106-072422.png
Screenshot_20220918-105737.png
Screenshot_20210804-224127.png
 
Kwny uchaguzi wa ccm juz wajumbe Zaid ya asilimia 75 wanatoka Kanda ya ziwa hyo ni indication kuwa Kanda ya ziwa inatoa viongozi bright na ndio inaamua mustakabali wa nchi
 
Kwny uchaguzi wa ccm juz wajumbe Zaid ya asilimia 75 wanatoka Kanda ya ziwa hyo ni indication kuwa Kanda ya ziwa inatoa viongozi bright na ndio inaamua mustakabali wa nchi
Achana na hao chawa wa sisiemu(ccm) hawatakuwa na mchango wowote kwenye maendeleo ya kanda ya ziwa nao wanapigania ugali wa familia zao, tuendelee kupambana kwa maendeleo ya vizazi vyetu vijavyo🤝🤝
 
Hauna kitu chochote hapo hizo ghorofa mbili unazorudia rudia mbona zinakuzuzua kuna nini hapo piga picha moja eneo zima sio nyumb moja moja, ila nashukuru kwasasa umeelewa kupost picha baada ya mkenya wa uzi wenu wa dar vs nairobi kukufundisha.
Kweli yule mkenya katu saidia sana
 
Hapo mjini kati pamejaa makazi ya watu tena makazi duni katikati ya mji, na hamna commercial buildings, hamna hotels hamna kila kitu zaidi ya soko tu haya buana ila mlishazoea maisha yenu nyie watu wa green city.
Hujawahi ishiwa excuses 😁😁.

Barabara zetu' huku Mbeya 👇
20221211_111022.jpg
20221211_111017.jpg
20221203_083229.jpg
1670645036479.jpg
1670644970896.jpg
1670644124586.jpg
1670644164350.jpg
1670644172114.jpg
1670644184253.jpg
1670644085797.jpg
1670644034660.jpg
1670643782045.jpg
1670643791582.jpg
1670643774863.jpg
1670643629572.jpg
that_mbeya_guy_1670685889295338.jpg
that_mbeya_guy_1670685889295338.jpg
uyoleculturaltourismenterprise_167070263309234.jpg
 
We ndo hujui kitu .... southern eastern inahusisha mikoa ya mashariki kusini...hyo ruvuma Iko mashariki Gani ...
No excuse...songea ni nyanda za juu kusini
Ruvuma ni Kanda ya Kusini, yaani kundi moja na Lindi na Mtwara, kiufupi kanda ya Kusini ina mikoa mitatu
Nyanda za juu Kusini ina Mbeya, Njombe, Iringa, Songwe na Rukwa.
 
Back
Top Bottom