Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kaghorofa kamoja ...HIV takwimu za sensa ,,,zilipotaja maghorofa 1000 walimaanisha mabanda au .maana hatuoni chochote
Sasa Kama Ni kamoja zile ulizomuwekea hapo zimetoka wapi? 😁😁.

Huelewi hata unachoandika..

Mbeya is huge mzee na Wala haijasongamana Kama Mwanza..

Mwanjelwa 👇
1670644813097.jpg
1670644742705.jpg
1670644752726.jpg
1670644731126.jpg
1670644712774.jpg
1670644688605.jpg
1670644611259.jpg
1670644053696.jpg
1670643988924.jpg
1670643996814.jpg
1670643974974.jpg
 
Picha moja angle mbalimbali pole sana sio kosa lenu ni uchumi wenu mdogo na kukosa exposure.
 
Nimekuchoka maana hata huelewi.

Posta kwa Dar Ni wapi?

Kariakoo unaitaje?

Kijitonyama?

Mwenge?
Cbd ni central business district, kama hizo mwenge sijui kijitonyama mara wapi ni districts basi zinastahili kuwa ata cbd 50 dar, je kwa mwanza tuseme nyegezi, kirumba, buzuruga na buhongwa ni cbd kwasababu pamechangamka kibiashara.
 
Hauna kitu chochote hapo hizo ghorofa mbili unazorudia rudia mbona zinakuzuzua kuna nini hapo piga picha moja eneo zima sio nyumb moja moja, ila nashukuru kwasasa umeelewa kupost picha baada ya mkenya wa uzi wenu wa dar vs nairobi kukufundisha.
Zipi nilizorudia rudia?

Hizi Ni za taasisi gani? 👇
1670644953666.jpg
1670644454757.jpg
1670644339767.jpg
1670643856794.jpg
1670643682708.jpg
1670643654429.jpg
1670643642992.jpg
1670642891523.jpg
images - 2022-12-08T170940.370.jpeg
images - 2022-12-08T171453.981.jpeg
images (1).jpg
Screenshot_20220918-105737.png
Screenshot_20210906-201313.png
Screenshot_20210804-224127.png
Screenshot_20210807-062944.png
 
Hizo picha umeweka mara ngapi? Tena hizo hizo muda wote, naomba huweke neighbouhoid kali ya mbeya hapa kwa aerial view ukishindwa mbeya ikashindane na tandahimba.
Umeanza kuhamisha magoli Mara narudia picha Mara niweke neibourhood 😂😂.

Sina aerial photos za neibourhood za kule Ituka,Forest,Isyesye,Uzunguni,Veta Ikulu,Ivumwe,Iwambi,Tazara nk
 
Umeanza kuhamisha magoli Mara narudia picha Mara niweke neibourhood 😂😂.

Sina aerial photos za neibourhood za kule Ituka,Forest,Isyesye,Uzunguni,Veta Ikulu,Ivumwe,Iwambi,Tazara nk
Hamna kitu, huko ni mavumbi na nyumba za tope, umekalia kugoogle picha za milima ya igogo na mabatini za miaka ya 1999 utashindwa nini kuleta picha za isyesye mavumbini a.k.a matopeni
 
Hao wajinga na wewe mko kundi moja tuu ,aliyewaelewa anijulishe maana sielewi kabisa..

Huyo mwingine anasema unashindwa na Sumbawanga Mara na Iringa Ila ukiwauliza unashindwa kwa lipi Hakuna majibu
Huwezi kuwaelewa Hadi uvccm uiweke pembeni . massage sent and delivered
 
Mbeya taa za barabaran zipo mafiati tu wakat mwanza sehemu zote za pembezoni kuna taa za barabaran kuanzia usagara,buhongwa,mkolani,nyegezi zipo 3,iseni, mkuyuni,kisesa,igoma,national,buzuruga,kona ya mwaloni,kona ya bwiru,kona ya sabasaba,buswelu 😄😄😄😄😄
 
Hamna kitu, huko ni mavumbi na nyumba za tope, umekalia kugoogle picha za milima ya igogo na mabatini za miaka ya 1999 utashindwa nini kuleta picha za isyesye mavumbini a.k.a matopeni
Ona Sasa ulivyo punguani,hakuna anashindwa kuleta Bali photographer wa Mbeya ndio wanazungua.

Mwisho kwani wewe Mbeya huijui? Hao mandezi wenzako wanachoongea huoni kwamba Ni uongo?
Huwezi kuwaelewa Hadi uvccm uiweke pembeni . massage sent and delivered
 
Cbd imejaa nyumba za kawaida kuliko commercial buildings hatari sana, ni bora nyumba bora kwenye cbd kuliko nyumba za tope katikati ya mji.
Nyumba za kawaida zipi? Harafu hiyo picha ni ya zamani Sana Wala hapako hivyo Sasa hivi kwa taarifa yako..

Mbeya imekosa photographer wanaoipenda Mbeya ndio maana wanashindwa kufanya updates ya Mara kwa Mara,wenye drone Ni Kama hawapo maana ndio wangepiga picha nzuri hasa za Mbeya neibourhoods.
 
Tukusaidie na wew kifuta machozi ujifariji fariji
IMG-20221211-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom