Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Ujenzi unaendelea uwanja wa ndege musoma..
Kanda ya ziwa inaenda kuongeza Kwa kuwa na viwanja vya ndege quality..bukoba tayari, mwanza on progressing,musoma on the way ,geita tayari.bado shy town
20221112_203915.jpg
20221112_203911.jpg
20221112_203918.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Coal exports itainua Sana GDP ya Njombe,Ruvuma,Mbeya na Mtwara msimu huu..

Ukisafiri njia ya Songea malori yanayomiminika sio ya Nchi hii 👇
Screenshot_20221111-122737.png
 
Watu 7,000 kwa wakati mmoja, nadhani ndio litakuwa kanisa kubwa kuliko yote Tanzania
Kuna uzuri na ukubwa elewa hio tofauti nilichosema ni kanisa zuri kwa kulinganisha na makanisa ya njombe sasa wewe wakawe kamo umetoka wapi.uzi huu haukuhusu
 
Halafu uzi ni kahama na njombe mbona mnatoka nje ya mada njombe walete kanisa zuri kuzidi hilo la kahama maana kutwa kurusha kimnara cha kanisa wakati kanisa lenyewe la kawaida
Kuna uzi wa Dar vs Nairobi ila kinachoendelea mle ni Tanzania vs Kenya,na hapa huu Uzi Ni Lake zone vs Southern Highlands licha ya hiyo heading..

Anyway Mahakama ya Wilaya Njombe..👇
20221112_101948.jpg
 
Kuna jengo lile la mahakama liko buswelu.kama unaelekea Kwa mkuu wa wilaya.lile jengo ni moto ....... Tanzania yapo matatu Majengo ya mahakama kama Yale .


Sent using Jamii Forums mobile app
Acha porojo,jengo Liko wapi?😂😂.

Njombe tunaendelea kuwakanyaga 👇
 

Attachments

  • 20221114_121344.jpg
    20221114_121344.jpg
    228.6 KB · Views: 13
  • 20221114_121216.jpg
    20221114_121216.jpg
    130.8 KB · Views: 19
  • Screenshot_20221114-121330.png
    Screenshot_20221114-121330.png
    140.7 KB · Views: 13
Bandari 44 kwenye ziwa Tanganyika na Nyasa once fully developed zitainua Uchumi Sana kwenye Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini na Mikoa ya Magharibi..

Tanganyika 22
Nyasa 12 .

Lake Victoria has 29 which are operational 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221113-083454.png
    Screenshot_20221113-083454.png
    195.2 KB · Views: 14
Wakati Mwanza mkijifariji na sgr ya pambo mnatakiwa kujua kwamba Uchumi utahamia mikoa ifuatayo.,

Katavi na Kigoma..

Serikali ya Tanzania na DRC zinajenga Bandari,Barabara na reli kutoka Kalemie DRC Hadi Lubumbashi..

Kazi inaanza next year 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221113-174916.png
    Screenshot_20221113-174916.png
    69.2 KB · Views: 13
  • Screenshot_20221113-175034.png
    Screenshot_20221113-175034.png
    55.1 KB · Views: 11
Kuna mengi Sana ya kufurahia ukiwa Mbeya..

Highest point Chunya 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221113-083837.png
    Screenshot_20221113-083837.png
    269.6 KB · Views: 13

Attachments

  • Screenshot_20221114-115535.png
    Screenshot_20221114-115535.png
    166.6 KB · Views: 16
  • Screenshot_20221114-115617.png
    Screenshot_20221114-115617.png
    129.5 KB · Views: 15
  • Screenshot_20221114-120053.png
    Screenshot_20221114-120053.png
    161.1 KB · Views: 16
Tajiri Mkinga kutoka Makete Njombe anaendelea kukiwasha Tanzania nzima 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221114-120204.png
    Screenshot_20221114-120204.png
    170.7 KB · Views: 16
  • 20221114_121029.jpg
    20221114_121029.jpg
    584 KB · Views: 15
Back
Top Bottom