Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Assumption without realistic figure is nonsenseMbona njaa ndio imejaa huko na Bei hazikamatiki,chakula gani mnazalisha sasa.
Hiyo surplus inawafavour kina Nani au Nani wanayo nyingi?
Assumption without realistic figure is nonsenseMbona njaa ndio imejaa huko na Bei hazikamatiki,chakula gani mnazalisha sasa.
Hiyo surplus inawafavour kina Nani au Nani wanayo nyingi?
Ruvuma haihesabiwi Nyanda za Juu bwashee hujui kitu.Ushaanza excuse as normal...
Rukwa
Mbeya
Ruvuma
Iringa
Njombe
Songwe
Vs
Mwanza
Simiyu
Kagera
Geita
Shinyanga
Mara
Wewe akili huna , kwenye hicho ki attachment hujaona surplus? Ndio maana mna njaaAssumption without realistic figure is nonsense
We ndo hujui kitu .... southern eastern inahusisha mikoa ya mashariki kusini...hyo ruvuma Iko mashariki Gani ...Ruvuma haihesabiwi Nyanda za Juu bwashee hujui kitu
Hyo surplusWewe akili huna , kwenye hicho ki attachment hujaona surplus? Ndio maana mna njaa
Hapa umempiga za kichwaaHyo surplus
Lake tuna surplus ya 1+milion tonnes tunakuwaje na njaa ...au hujui maana ya surplus ...kujitosheleza Kwa chakula kunapimwa na kipimo kijulikanacho kama SSR self sufficient ratio .ambapo ukiwa na zaidi ya 120 ratio Eneo Hilo linajitosheleza Kwa chakula ..ukanda wa ziwa una ratio ya 128 ..
Unatoboa kwenye tobooUshaanza excuse as normal...
Rukwa
Mbeya
Ruvuma
Iringa
Njombe
Songwe
Vs
Mwanza
Simiyu
Kagera
Geita
Shinyanga
Mara
Empty box, hakuna unachojua,Ruvuma haihesabiwi Nyanda za Juu bwashee hujui kitu.
Kwanza hata Iringa siku hizi inapata services zake Dom kuliko Mbeya maana Dom ndio jirani.
Lindi/ Mtwara ni Coastal 😀😀😀😀😀Kanda ya Kusini inqhusisha Ruvuma,Lindi na Mtwara..Unajua Zina wilaya au Halmashauri nyingi kuliko Southern Highlands yenye Mikoa 5?
Figures hizi hapa bwashee 👇
Ruvuma inahesabiwa ikiwa wapi?, na hapo unataka kuiexclude na iringa mr excuses🤣🤣🤣Ruvuma haihesabiwi Nyanda za Juu bwashee hujui kitu.
Kwanza hata Iringa siku hizi inapata services zake Dom kuliko Mbeya maana Dom ndio jirani.
Wamebakiza maneno bila vitendo, mara utawasikia kanda ya ziwa kuna ukame, sasa kama kuna ukame production yote hii inatoka wapi?Hapa umempiga za kichwaa
Secta zote alizokuq anajisifia mara uzalishaji wa mazao umempiga chini
Kigoma ipo ukanda gani?Tanzania: Coastal Tanzania (Districts and Wards) - Population Statistics, Charts and Map
Tanzania: Southern Highlands (Districts and Wards) - Population Statistics, Charts and Map
Tanzania: Southern Highlands (Districts and Wards) with population statistics, charts and maps.www.citypopulation.de
Tanzania: Central Tanzania (Districts and Wards) - Population Statistics, Charts and Map
Tanzania: Central Tanzania (Districts and Wards) with population statistics, charts and maps.www.citypopulation.de
Tanzania: Lake Zone (Districts and Wards) - Population Statistics, Charts and Map
Tanzania: Lake Zone (Districts and Wards) with population statistics, charts and maps.www.citypopulation.de
Tanzania: Lake Zone (Districts and Wards) - Population Statistics, Charts and Map
Tanzania: Lake Zone (Districts and Wards) with population statistics, charts and maps.www.citypopulation.de
View attachment 2420854Tanzania: Lake Zone (Districts and Wards) - Population Statistics, Charts and Map
Tanzania: Lake Zone (Districts and Wards) with population statistics, charts and maps.www.citypopulation.de
Kuundwa kwa Mkoa wa Katavi naimani Kanda ya Magharibi ipo njiani (Katavi/Kigoma na Tabora)
Na hizo ni report za BOT ..benki kuu sio platform uchwaraWamebakiza maneno bila vitendo, mara utawasikia kanda ya ziwa kuna ukame, sasa kama kuna ukame production yote hii inatoka wapi?
Kila sector anayokuja kutambia humu kapigwa na bado atakuja na excuses kibao😁😁😁Unatoboa kwenye toboo
Na hapo sijaleta ripoti ya madini,utalii ,uvuvi ,na mauzo ya bidhaa nje ya nchi ..kote Kanda ya ziwa inefanya vizuriHapa umempiga za kichwaa
Secta zote alizokuq anajisifia mara uzalishaji wa mazao umempiga chini
Utawasikia kanda ya ziwa ni dhahabu tu ndio inawabeba😂😂😂, ukiingia kwa ground unaona kanda ya ziwa inaongoza kwa kila kitu.Na hizo ni report za BOT ..benki kuu sio platform uchwara
Hii kanda ya ziwa hii itampa sanki farasi degedege😜😜Na hapo sijaleta ripoti ya madini,utalii ,uvuvi ,na mauzo ya bidhaa nje ya nchi ..kote Kanda ya ziwa inefanya vizuri
Hiki kina tofauti gani na vyuo vya hotel management😜😜😜😜ADEM Mbeya Campus 👇