Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Sio unisaidei hizo takwimu sio mpya na nilishawahi zianzishia uzi sema umelazimika tuu ku post kwa sababu huna namna.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

Cc Instanbul na Great Haya waikne kwenye jalada Kagera iko Mkiani huko.[emoji23][emoji23]
We bwege hujui hapo Kagera kulikuwa na watu hewa (wa kudhania) zaidi ya laki 7
 
Ili jiji likamilike haya ni mambo ya muhimu si kujaza tu maghorofa mjini, na mwanza imetimiza haya, na sio park tu ina national park katikati ya jiji😍😍😍😍
Sasa kuwa na national ndio Nini hasa? Mwanza na Dom ambako Hakuna hata Kijani Wal hiyo National Park zaidi ya Bustani ya Chinangali,Lipi Ni Jiji Bora?

Mbeya Ina Bustani ya Jiji achilia mbali misitu iliyohifadhiwa inahozunguka Jiji,mbalizi Kuna Samba la Wanayamapori Ifisi,tafuta excuses nyingine.
 
Kwa hiyo kutokuwa na cbd ndio disorganised au ? 😁😁😁😁.

Kati ya Mwanza na Mbeya wapi Ni slums City? 😆😆😆😆.

Bullet train yenu hii hapa 👇
View attachment 2443113
Hii ni bullet train ya nyinyi wadanganyika na sio ya Mwanza, na wadanganyika wengi wamerundikana Dar, dodoma na morogoro zimeletwa kqa ajiri yao msiwe wajinga, sgr Mwanza itakamilika 2027 kwanini mabehewa yaletwe kipindi hiki?
 
Ni hobby tuu,waliopo wako busy na masuala ya kitalii..

Hizi picha hapa chini nilipiga Ituka na Iwambi Kama zingechukuliwa kwa drone ungeona bonge la neighborhood.

Na hapo nilipiga za underconstruction maana finished watu wamefunga ma CCTV camera utakamatwa 👇View attachment 2443115View attachment 2443116View attachment 2443117View attachment 2443118View attachment 2443119View attachment 2443120View attachment 2443121View attachment 2443122View attachment 2443123View attachment 2443124
Nimezoom hiyo picha ya juu nikaona nyumba za udongo kama zote hapo green city naon ilipaswa kuitwa desert city sio kwa ukame huo.
 
Sasa kuwa na national ndio Nini hasa? Mwanza na Dom ambako Hakuna hata Kijani Wal hiyo National Park zaidi ya Bustani ya Chinangali,Lipi Ni Jiji Bora?

Mbeya Ina Bustani ya Jiji achilia mbali misitu iliyohifadhiwa inahozunguka Jiji,mbalizi Kuna Samba la Wanayamapori Ifisi,tafuta excuses nyingine.
Tatizo sio lako bali ni kutokutembea na kutokuijua Mwanza ata hiyo mbeya haiwezi kuizidi Mwanza kwa ukijani, naomba huweke park ya jiji la mbeya hapa au recreation area za mbeya jiji.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] rafiki angu kitombile.hiv mji kama haupendezi ,unapigaje picha
Jiji la mbeya limepauka na mivumbi kama yote kutwa nzima kudanganywa kama watoto et green city🙄🙄🙄🙄
 
Haupendezi au siyo? 😂😂😂😂.

Karibia ntakuwa Wade Maya mwenyewe nisajili blog yangu ili niwe nawapa vitu vikali kutoka Mbeya.

Bado tuko Ituka kule wanakaa kina General Mboma 👇View attachment 2443127View attachment 2443128View attachment 2443129View attachment 2443130View attachment 2443131View attachment 2443132View attachment 2443133View attachment 2443134View attachment 2443135View attachment 2443136
Hivi huwa mnapata mvua mm ngapi kwa mwaka nyie green city.
 
NI Sahihi upanuz ukikamilika watazifunga tu mfano saiz mkoa wa njombe wamefunga TAZAM ROAD wangingombe zimefungwa ukija makambako zimefungwa songea road na njombe
 
Hivi huwa mnapata mvua mm ngapi kwa mwaka nyie green city.
1200mm

Naendelea kukupa dozi za Mbeya,the same mtaa wa Ituka/ Iwambi bado 👇
IMG_20221016_084625_708.jpg
IMG_20221016_084604_934.jpg
IMG_20221016_100912_032.jpg
IMG_20221016_100741_608.jpg
 
Mikoa yote ya Kanda ya Ziwa except Kagera Ni prone kwa njaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

As we speak Serikali imepeleka chakula Cha msaada huko [emoji1732][emoji1732]

Ukiangalia hiyo map uhakika wa maisha uko Western and
South Western Highlands
Figure speaks[emoji116][emoji116][emoji116]
PSX_20221118_220954.jpg
 
Kama mnajitosheleza kwa chakula kwa Nini mletewe msosi wa msaada? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].

Hiyo Surplus kiduchu imetoka Kagera nyie wengine Ni njaa Kali
Evidence speak louder..leta hizo habari hapa ...na nyie mbona mnaongoza Kwa udumavu
 
Back
Top Bottom