The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Ila hii Nchi Ina mataahira wengi Sana na sijui Kama itaendelea..Sishangai ripoti ya ALAT mbeya ni jiji la mwisho Kwa usafi ...Kwa haya mabanda ni Halali kabisa.....mbeya haijawahi kuwa jiji by qualifications ni jiji by politics
Mitaa mbalimbali ya jiji ...Mara mia nimekaa milima ya mabatini,igogo ,au kigoto ,kumekaa kijanja kuliko hapaView attachment 2437030View attachment 2437032View attachment 2437033View attachment 2437034View attachment 2437035
Imagine mtu wa Mwanza anaicheka Mbeya 😂😂.Mwanza hii hii ambayo 3/4 ya Makasi yake Ni mabanda Tena ya nguruwe huwezi hata kulinganisha na hizo nyumba za Mbeya.
Muwage na aibu basi,Soma hapa chini afu Tazama picha hizi za Mwanza 👇


