Busan
JF-Expert Member
- Aug 19, 2022
- 644
- 736
We zako zipo wap?Ndio maana huna akili kumbe
We zako zipo wap?Ndio maana huna akili kumbe
Toa takataka unqchagua Uzi na vijumba vya ItigiMusabe,Buhongwa, Mwanza ni kuzuri 4× ya Forest enu
Hizi hapa Mbeya👇We zako zipo wap?
Umekuja huku eti eeh ...ruti ya kahama to everywhere in tz Ina vyuma vikali kuliko vya huko nsalagaRoute ya Mbeya-Dodoma nayo imeanza kuwa na routes nyingi na za VIP.
Shabiby Line
Kimbinyiko
Capricon
Kimotco
Dolphine Express
Na Sasa new Baby in da City...MK Classic
Hii Ni ya MK anaechangiaga humu jukwaani![]()





Ukienda kuuliza usafiri utakuta hizo kampuni zote zilishaingia mitini Kama mlivyoumbuka majuzi kwa mdau wenu alipokuwa anaulizia usafiri wa Mwanza 🤔🤔..Umekuja huku eti eeh ...ruti ya kahama to everywhere in tz Ina vyuma vikali kuliko vya huko nsalaga
Kahama to kaskaziniView attachment 2440958View attachment 2440959View attachment 2440960View attachment 2440961View attachment 2440962
Mji wa Kampuni Moja ya Mabasi 😂😂.Wakati nsalaga boi akitafakari namna udumavu unavyoteketeza afya ya akili yake ...kahama mambo ni
Frester road way View attachment 2440978View attachment 2440979View attachment 2440980View attachment 2440981
Hiyo Ni Baada ya Serikali kukatelekeza hako kamji kenu 😁😁😁😁.Vijana wakaona isiwe kesi...watasubiri serikali hadi...wameunda group la whatsup ...wakanunua Taa wakaweka soko kuu la wilaya...ndugu zao wasihangaike usiku....
Ni mambo mengi yanafanywa na watu binafsi huko Bukoba kama Taa za barabarani nyingi Bukoba mjini zimewekewa na watu binafsi...
Waruhusu tu serikali kama wameshindwa...watu wajenge stendi wenyew kwa michango...View attachment 2440972View attachment 2440973
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Swala sio tuu Wingi wa Mabasi Bali classy ya Mabasi..Watu wa nsalaga ...mnavyoleta propaganda zenu za mchongo Huwa tunawachora tu
Kahama to mwanzaView attachment 2440965View attachment 2440966View attachment 2440967View attachment 2440968
Naona vikampuni vile vile vya mchongoSwala sio tuu Wingi wa Mabasi Bali classy ya Mabasi..
Njombe-Dar![]()


...a lite with bite 














Imepenyaaaa, vumilia tu coz huo mtaa ukiletwa Mbeya Forest mpya na ya zamani zote tupa kuleeeeeToa takataka unqchagua Uzi na vijumba vya Itigi
Bukoba washaachana serikali siku hiz...tena hii ya CCM ? Ndo hovyo kabisa???Hiyo Ni Baada ya Serikali kukatelekeza hako kamji kenu.
Sumbawanga taa kila sehemu![]()
Endelea kujifariji tu na viglucose ..ila hapa dozi ya haijaisha ....Ukienda kuuliza usafiri utakuta hizo kampuni zote zilishaingia mitini Kama mlivyoumbuka majuzi kwa mdau wenu alipokuwa anaulizia usafiri wa Mwanza..
Tunduma-Dodoma![]()

kamata booster ya Pfizer biontech hapa ili uviko ukuishe kichwani mwako 










Alafu haya majengo ni shule ya UWATA BOYS hilo la ground ni maabara na hako ka ghorofa ni madarasaVichekesho gani Sasa hapo? Hapo Kuna ushua gani wakati Ni mtaa tuu wa kawaida Jijini Mbeya?Mitaa ya kishua Mbeya ni vichekeshoo 🤣🤣🤣🤣
View attachment 2441042