Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

That is not seif plaza, isamilo hakuna jengo lolote linaitwa plaza
Linaitwaje? Hapo kwenye Hilo jengo sio mgeni unless niwe nimesahau jina nimewahi kuja kwa jamaa yangu mwanasheria hapo..

Anyway This is Mbeya you are warmly welcome 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221205-115132.png
    Screenshot_20221205-115132.png
    288.6 KB · Views: 7
  • 1670230347102.jpg
    1670230347102.jpg
    52.1 KB · Views: 7
  • 1670230336813.jpg
    1670230336813.jpg
    58.9 KB · Views: 6
  • 1670230312967.jpg
    1670230312967.jpg
    46.9 KB · Views: 6
  • 1670230307917.jpg
    1670230307917.jpg
    50.8 KB · Views: 6
  • 1670230329735.jpg
    1670230329735.jpg
    66.7 KB · Views: 6
Eti Mengi Sasa Kama Ni mengi si Mji wote ungeathirika sasa
Tofauti na vibus vya mchongo..ukitizama background ya bus .hizo ni nyumba za makazi mapya mbeya..ni sawa na kusema kisesa , buhongwa, usagara.mji unakojengwa ,vimejengwa vijumba vya ajabu na vya kizamani......
Kila siku tunawaambia purchasing power ya watu wa kusini Iko low hamuelewi ..
Uyole kuelekea mlima nyoka
20221205_212015.jpg
 
Sishangai ripoti ya ALAT mbeya ni jiji la mwisho Kwa usafi ...Kwa haya mabanda ni Halali kabisa.....mbeya haijawahi kuwa jiji by qualifications ni jiji by politics
Mitaa mbalimbali ya jiji ...Mara mia nimekaa milima ya mabatini,igogo ,au kigoto ,kumekaa kijanja kuliko hapa
images (6).jpg
images (5).jpg
images (8).jpg
images (3).jpg
images (4).jpg
 
Tofauti na vibus vya mchongo..ukitizama background ya bus .hizo ni nyumba za makazi mapya mbeya..ni sawa na kusema kisesa , buhongwa, usagara.mji unakojengwa ,vimejengwa vijumba vya ajabu na vya kizamani......
Kila siku tunawaambia purchasing power ya watu wa kusini Iko low hamuelewi ..
Uyole kuelekea mlima nyoka View attachment 2436998
Huku sio uyole Ni nje ya Mji huko Nsalaga kwa mbele.

By the way hizo nyumba Ni nzuri kuliko Yale mauchafu ya Mwanza
 
Back
Top Bottom