Acha Makelele huu mradi ushafanyika na wakafanya aya maeneo kua accessible pia huu mwaka wamekuja na project Mpya Hakuna sehemu mwanza ikakosa Maji, uko Milimani wameshajenga sewage systems ambazo zipo almost maeneo yote. Niletee mkoa ambao unaizidi Mwanza kwa sewage systems au Maji, pia hayo maeneo zmejengwa ngazi kuyafanya maeneo kupitika. Usisahau Mwanza informal settlement yake ni Block na bati za kueleweka sio Tembe na Mabanda ya Ng'ombe ya uko Salanga. Nafkr unawaona ao watoto
View attachment 2439120