Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,242
- 8,117
Pia sensa imeongea kila kitu, kuhusu makazi, huduma za afya, huduma za elimu n.k Mwanza is ahead.Umetumia kigezo Gani kupima quality of life [emoji28][emoji28]au ndio Ile ya GDP/population [emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16]...this is pathetic...
Mngekuwa na quality of life msingekuwa two digit kwenye mapato ya Kodi ...ukiona mji haumo hata top ten ya mapato Tanzania ujue level ya individual investment na formal sector Iko chini....then keep in mind MWanza growth quantity yake ni bilioni 800 Hadi trillion 1 Kwa mwaka .wakati mbeya ni bilion 500 Kwa mwaka ...ongezeni growth rate kwanza ndio mfikirie kuipita mwanza.[emoji116][emoji116][emoji116]