The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Hivi kwa Nini Mkoa wa Iringa wasiuhamishie Kanda ya Kati badala ya Nyanda za Juu Kusini?
Nasema hivi kwa sababu kijiografia uko karibu zaidi na Dodoma kuliko Mbeya..
Nyanda za Juu Kusini tubakie na Mikoa ya Ruvuma , Njombe,Mbeya,Songwe na Rukwa maana hata kimuingiliano iko integrated zaidi.👇