Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Dah kwa hiyo mapato ya Ngara kagera...yanaenda kuhesabiwa kahama shinyanga?...

Halafu wakitoa takwimu za mikoa yenye GDP kubwa kagera inakuwa haimo..na mkoa unaonekana maskini..

Kwa nini hizo processing plant zisijengwe huko huko ngara?...

Hii kitu ilifanyika kwenye kahawa miaka mingi tu...soko na mnada wake unakuwa moshi na mapato kuhesabiwa huko Kilimanjaro wakati wakulima wako kagera...

Pia kwenye sukari ya kagera...mapato na tathmini yake inahesabiwa Dar huko...ndo maana bei ya sukari bado iko juu hata maeneo ya karibu na viwanda...
Sijajua Mkuu, Ila bado Ngara itanufaika tu, Kahama watafaidika na shughuli za plant, na kuongeza malori mjini
 
Naona macho yako yanaona kinyume we hizo slum unaona ni mpangalio mzuri wa makazi, slum tupu hapo hakuna well organized neighbourhood
Onyesha slums sio kuruka ruka Kama ndorobo au Leta picha ya ramani ya Mwanza tuone ilivyopangwa..

Mbeya Hakuna slums viwanja vinapimwa kila sehemu ya Jiji 👇
 

Attachments

  • halmashauri_ya_jiji_la_mbeya__1670046715080400.mp4
    21.3 MB
Tunduma na yenyewe ni mkoa?
Endelea kutafuta escape route.🤪🤪🤪🤪

😂😂😂😂 Stand kuu ya Geita Mkoa wa Dhahabu 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221203-080038.png
    Screenshot_20221203-080038.png
    236.4 KB · Views: 9
Njombe Town 👇
 

Attachments

  • IMG_0959.JPG
    IMG_0959.JPG
    44.3 KB · Views: 9
  • 02.JPG
    02.JPG
    40 KB · Views: 10
  • 06.JPG
    06.JPG
    45.5 KB · Views: 10
  • 3-62-592x424.jpg
    3-62-592x424.jpg
    40.5 KB · Views: 10
Wanapita kimya kimya 😂😂

Njombe👇
 

Attachments

  • thumb_513_1130x480_0_0_auto.jpg
    thumb_513_1130x480_0_0_auto.jpg
    102.5 KB · Views: 9
  • mqdefault.jpg
    mqdefault.jpg
    14 KB · Views: 9
  • maxresdefault.jpg
    maxresdefault.jpg
    263.1 KB · Views: 9
  • FB_IMG_16692867678300939.jpg
    FB_IMG_16692867678300939.jpg
    30 KB · Views: 8
  • 1670051239855.jpg
    1670051239855.jpg
    41.8 KB · Views: 9
Kwanini nyumba nyingi Mbeya ni za udongo hususan Mbalizi
Kwani udongo una shida gani? Kwak hujui kwamba udongo wa Mbeya ukichoma tofali za kawaida zinapukutika na kuwa weak tofauti na ilijenga bila kuzichoma?

Ni aidha ujenge kwa block au kwa udongo bila kuchoma..

Mwisho umewahi kuona Zina shida yeyote?
 
Kwani udongo una shida gani? Kwak hujui kwamba udongo wa Mbeya ukichoma tofali za kawaida zinapukutika na kuwa weak tofauti na ilijenga bila kuzichoma?

Ni aidha ujenge kwa block au kwa udongo bila kuchoma..

Mwisho umewahi kuona Zina shida yeyote?
Nilichokuwa nataka kujua sababu ya kujenga Kwa udongo tupu badala ya saruji
 
Jamaa wa Kahama wameshapoteana hawana Cha ku post kila wakiweka huwa Ni mavumbi tuu 😆😆😆😆

Karibu Njombe 👇
 

Attachments

  • 1670050829560.jpg
    1670050829560.jpg
    60.1 KB · Views: 10
  • 1670050953839.jpg
    1670050953839.jpg
    39.3 KB · Views: 10
  • 1670051073698.jpg
    1670051073698.jpg
    18.8 KB · Views: 10
  • 1670051025544.jpg
    1670051025544.jpg
    60.5 KB · Views: 10
  • 1670051239855.jpg
    1670051239855.jpg
    41.8 KB · Views: 9
  • 1670051054700.jpg
    1670051054700.jpg
    19.7 KB · Views: 10
  • 20221203_080259.jpg
    20221203_080259.jpg
    36 KB · Views: 9
Kijana wa Mbeya mkoa wa Mwanza itakutoa roho !Hakuna sehemu hapo mbeya utakutana na vitu vya maana namna hii! Hapo ni kilometa 12 kutokea mjini lakini angali mandhari yake!

Kwani udongo una shida gani? Kwak hujui kwamba udongo wa Mbeya ukichoma tofali za kawaida zinapukutika na kuwa weak tofauti na ilijenga bila kuzichoma?
Ni aidha ujenge kwa block au kwa udongo bila kuchoma..

Mwisho umewahi kuona Zina shida yeyote?
SAVE_20221203_134914.jpg
 
Kijana wa Mbeya mkoa wa Mwanza itakutoa roho !Hakuna sehemu hapo mbeya utakutana na vitu vya maana namna hii! Hapo ni kilometa 12 kutokea mjini lakini angali mandhari yake!

View attachment 2434402
Nikiwaambia Mwanza Ni Uswazi City huwa hamuelewi.

Nifundisheni kuchora chora picha nizungushie uswazi nauona nyuma ya huto tugorofa twa stand 😆😆

Anyway naona unahemka sana,km 10 kutoka Katikati ya Jiji na hapa Ni Iwambi 👇
 

Attachments

  • IMG_20221016_100741_608.jpg
    IMG_20221016_100741_608.jpg
    1.7 MB · Views: 8
  • IMG_20221016_100912_032.jpg
    IMG_20221016_100912_032.jpg
    1.7 MB · Views: 10
  • IMG_20221016_084604_934.jpg
    IMG_20221016_084604_934.jpg
    2.2 MB · Views: 8
Wakati Kahama inazidi kupauka kwa mavumbi,Njombe tunatandaza lami kila mtaa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221203-101812.png
    Screenshot_20221203-101812.png
    173.6 KB · Views: 8
  • halmashauri_ya_mji_njombe_1670051953307544.jpg
    halmashauri_ya_mji_njombe_1670051953307544.jpg
    50.8 KB · Views: 9
  • halmashauri_ya_mji_njombe_1670051953307556.jpg
    halmashauri_ya_mji_njombe_1670051953307556.jpg
    57.3 KB · Views: 10
  • halmashauri_ya_mji_njombe_1670051953307802.jpg
    halmashauri_ya_mji_njombe_1670051953307802.jpg
    56 KB · Views: 9
  • halmashauri_ya_mji_njombe_1670051953307462.jpg
    halmashauri_ya_mji_njombe_1670051953307462.jpg
    38.6 KB · Views: 9
  • halmashauri_ya_mji_njombe_1670051953306135.jpg
    halmashauri_ya_mji_njombe_1670051953306135.jpg
    48.7 KB · Views: 10
  • halmashauri_ya_mji_njombe_1670051953307543.jpg
    halmashauri_ya_mji_njombe_1670051953307543.jpg
    51.3 KB · Views: 10
Back
Top Bottom