Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,149
- 7,966
Hii round about ndio imekuzuzua au kuna kitu kingine hapo, mimi naona ukame na nyumba za ajabu zenye kutu hakuna kingine.
Hii round about ndio imekuzuzua au kuna kitu kingine hapo, mimi naona ukame na nyumba za ajabu zenye kutu hakuna kingine.
Mlishatoka muda 🤪🤪🤪🤪🤸🤸🤸🤸Endelea kujifariji na mabasi ya abood, sisi Mwanza tulishatoka huko muda ngoja tukuache wewe ambaye umekuja kuona luxury buses baada ya kuingia chuo.
Mafiati Kuna mauchafu na ma slums nKama hayo ya Isamilo?Hapa unaweza kulinganisha n mafiat😜😜😜
Tulishatoka huko kitambo saizi Ni mwendo wa vyuma Mneso..Vumilia tu si kosa letu Mwanza kuletewa sgr, na nyie mtapata baada ya miaka 100, kwasasa endeleeni kupanda mabasi.
Kwa ugumu huu wa maisha Sina Shaka ndio unakufanya unatokwa mapovu hivyo sio bure 😁😁.Hii round about ndio imekuzuzua au kuna kitu kingine hapo, mimi naona ukame na nyumba za ajabu zenye kutu hakuna kingine.
Huku kuna vitu vikali mpaka choo na bafu ndani ya gari boya wewe na hii utabisha.Mlishatoka muda 🤪🤪🤪🤪🤸🤸🤸🤸
Mtapanda Sana kwenye mabodi ya vyuma chakavu.
Dar-Tunduma 👇
Viko wapi? 😂😂Huku kuna vitu vikali mpaka choo na bafu ndani ya gari boya wewe na hii utabisha.
Huyo mfumuko wa bei kwa kanda ya ziwa unadhani umesababishwa na nani?Kwa ugumu huu wa maisha Sina Shaka ndio unakufanya unatokwa mapovu hivyo sio bure 😁😁.
Afu utawasikia wakisema wao Wana chakula kingi 😂😂
Viko wapi? 😂😂
Acha vichekesho wewe naona imeamua kuwa comedian.😁😁Karibu kanda hii ujione mabasi ya luxury og achana na mbwembwe za mayutong ya huko kusini.
Na uvivu wenu wa kuzalisha mazaoHuyo mfumuko wa bei kwa kanda ya ziwa unadhani umesababishwa na nani?
Tuletee 3star HotelKuna Hadi 5 star achlia mbali hiyo 4 👇
Ziko nyingi Sana Kama Usungilo na Ile ya Sugu nk.nk Sina mda huo wa kuorodhesha nyingine zimejaa matema Beach huko.Tuletee 3star Hotel
Weka pic maana ww Guest House unaweza ita HotelZiko nyingi Sana Kama Usungilo na Ile ya Sugu nk.nk Sina mda huo wa kuorodhesha nyingine zimejaa matema Beach huko.
Isamilo haijawah kuwa na slums labda kama kuna Isamilo nyengne uko Mbeya UswekeniMafiati Kuna mauchafu na ma slums nKama hayo ya Isamilo?
Mafiat 👇
Kwa hiyo wewe kwako hapa Kuna Nini Kama sio uswazi? Hii sio Isamilo? Umeanza kukana kwenu baada ya kuona mauchafu?👇Isamilo haijawah kuwa na slums labda kama kuna Isamilo nyengne uko Mbeya Uswekeni
Utaacha lini wivu.😝😝😝😝Acha vichekesho wewe naona imeamua kuwa comedian.😁😁
Mabasi mapya yatoke wapi huko kwa washamba? Nyie mtalundikwa kwenye Mabehewa fake ya train
Hukuona production yetu au unajitoa ufahamu, kanda ya ziwa inaongoza kwa uzalishaji wa mazao, na kama kigezo ni kuzalisha mbona dar hawazalishi lakini inflation yao ni ndogo, acheni hujuma kwa kanda ya ziwa.Na uvivu wenu wa kuzalisha mazao