Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

277470870_567306170997760_1610453328032959238_n.jpg

Kuna mtu haijui isamilo
 
Huku hatukurupuki mzee mfano bandari kavu makambako ni plan ya Muda mrefu Sasa ndo imeanzwa kutekelezwa baada ya kuwalipa fidia wananchi walioachia maeneo yao
page_35.jpg

final-report-tanzania-ports-master-plan-1-to-100-1-320.jpg

final-report-tanzania-ports-master-plan-1-to-100-61-320.jpg

Laos-China-Rail-A-Boon-For-Thais-800x445.jpg
 
Ilo ni gap kubwaaaaaaaaa sanaaa ni miaka dahali adi kuja kuliziba🙏🙏🙏🙏🙏
Til.3 inahitaji Miaka Dalali kuziba? Hili si linaweza tokeoa ndani ya Miaka 5-10 tuu mbona as far as GDP is concerned,But in case of quality of life wanaotakiwa kuziba Hilo gap Ni Mwanza sio Mbeya..

Mbeya is far ahead of Mwanza kwa individual life.
 
Manispaa ya mchongo inaongoza kwa mapato kuliko manispaa ya moshi, na manispaa zote ukitoa Ilemela.
Wewe Ni hamnazo,hiyo Manispaa ya kutunga labda inaongoza kwa mapato kwa Manispaa fake Kama Singida lakini Kwa Miji ya Nyanda za Juu mkasome,Tayari Tunduma inawanyea mnazoa mavi tuu,soon Njombe nayo itawanyea.
 
Til.3 inahitaji Miaka Dalali kuziba? Hili si linaweza tokeoa ndani ya Miaka 5-10 tuu mbona as far as GDP is concerned,But in case of quality of life wanaotakiwa kuziba Hilo gap Ni Mwanza sio Mbeya..

Mbeya is far ahead of Mwanza kwa individual life.
Umetumia kigezo Gani kupima quality of life au ndio Ile ya GDP/population ...this is pathetic...
Mngekuwa na quality of life msingekuwa two digit kwenye mapato ya Kodi ...ukiona mji haumo hata top ten ya mapato Tanzania ujue level ya individual investment na formal sector Iko chini....then keep in mind MWanza growth quantity yake ni bilioni 800 Hadi trillion 1 Kwa mwaka .wakati mbeya ni bilion 500 Kwa mwaka ...ongezeni growth rate kwanza ndio mfikirie kuipita mwanza.
 
Endelea kujitoa akili Kama unashindia mihogo na mapanki ya sangara..

Vigezo Ni vingi tuu hata bila hizo metrics ,mojawapo Ni Wingi wa slums huko Mwanza vs Mbeya,ratio ya Huduma za jamii vs population,ratio ya wasomi vs population nk nk..

Mtu mzima kabisa anaejiita msomi anasema eti GDP Ni panthetic ,huu Ni ukichaa,hoja ingekuwa Hakuna income disparity ndio ungesema GDP sio kitu Ila so long as Uchumi inazalishwa na Watu then how comes GDP sio kitu?

Ulivyo kiazi hiyo growth rate yenu inafanana na Idadi ya watu wenu? Ndio maana mna mfumuko mkubwa wa Bei maana watu wengi Ila mnazalisha kidogo..

Mwisho mapato yapo ya kila dizaini kuanzia TRA Hadi Halmashauri.Mkoa wa hovyo kama Mwanza ndio unaweza ongea kweli? Kwenye Halmashauri zote za Mwanza Ni hizi za mjini tuu ndio Zina mapato huko kwingine kumejaa maskini wankutupwa.

Mbeya Hakuna umaskini Kama huo Halmashauri zote Zina mapato ya kutosha kuhudumia watu wake,mapato yenu ya TRA yanaenda kujenga Dom na Lindi nk.
 
Kila siku nakuambia hujawahi Kuwa na logic hata siku moja ...GDP per Capita sio quality of life ...GDP per Capital ni wastani wa Pato la mwananchi Kwa mwaka Kwa kutumia thamani ya uchumi wa mkoa kugawia idadi ya watu....maana yake mikoa yenye idadi kubwa ya watu inakuwa na per Capita ndogo...hii ni sawa na kusema GDP per Capita ya china ni US dollar 10000 wakati GDP per Capita ya Spain 30000 us dollar.....
Kipimo kinachotumika kuidentify quality of life ya eneo ni HDI (human development index) ..sasa ili tuprove mbeya mna quality of life leta figure za HDI Kwa Kila mkoa ...sio porojo tu na uchumi wako wa kijiweni
Kingine huwezi kupima quality of life Kwa kuangalia slums,, kama ni hivyo bas dar haina quality of life kuzidi mbeya na ukikubali hii scenario maana yake takwimu zako za GDP per Capita zinakuwa hazina maana Kwa sababu per Capita dar is ahead of mbeya
 
Wewe Ni hamnazo,hiyo Manispaa ya kutunga labda inaongoza kwa mapato kwa Manispaa fake Kama Singida lakini Kwa Miji ya Nyanda za Juu mkasome,Tayari Tunduma inawanyea mnazoa mavi tuu,soon Njombe nayo itawanyea.
Bora ata kumwelewesha mjinga atakuelewa kuliko kumfundisha pumbavu kama wewe, leta hizo takwimu za mji wenu wa tunduma kimapato tuone kama wamewazidi kahama annually.
 
Wewe ndio mpumbavu,nimeleta Mara nyingi tuu humu na Sasa nakuaibisha Tena fala wewe👇
 
Attachments

  • tunduma_town_council_166886275256830.jpg
    tunduma_town_council_166886275256830.jpg
    170.9 KB · Views: 9
  • tunduma_town_council_1668862752569997.jpg
    tunduma_town_council_1668862752569997.jpg
    112.5 KB · Views: 12
Back
Top Bottom