Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Soko kuu njombe
IMG_20221126_135513_013.jpg
 
Huyu Famba anajifanya anaijua Mwanza kuliko sisi Isamilo ambayo Spika wake wa Bunge kachukua kiwanjaa, Isamilo is better than the whole CBD of Mbeya
Acha kufananisha isamilo na cbd ya wakulima wa maparachichi na mpunga.
 
Haha

Ha haha kahama yenye makorongo Kila Kona na vumbi la kutosha ndo ulinganishe na miji ya huku shida sio
Siku mkiwa manispaa ndio mtakaa ligi moja na kahama kwasasa kapambaneni navijiji vyenu vya mchambawima.😜😜😜😜😜
 
Yaani hua nikiwa natoka chunya kuja mbeya napenda iwe usiku usiku kule mlimani napaki chuma naiangalia mbeya inakua inapendeza sana hasa umeme ukiwepo mji mzima unauchora na unaweza kujiuliza hapa nipo wapi
Huwa unajiuliza upo wapi? Majalalani au mavumbini?
 
Back
Top Bottom