Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Maneno meengi.

Weka hapa ramani ya Jiji la Mwanza Kama nilivyoweka ili tuone wapi Kiko disorganised au unaona aibu ya zile dream houses zenu? 😆😆.
Haya bhana kwa akili hizi kama zako acha nchi jirani zituache thousands miles, ila jiji la mbeya lina mpangilio mzuri sanw kuliko majiji yote ya Tanzania pia ujenzi wa nyumba zao katikati ya cbd ipo njema, kwa kweli kazi iendelee.
 
Haya bhana kwa akili hizi kama zako acha nchi jirani zituache thousands miles, ila jiji la mbeya lina mpangilio mzuri sanw kuliko majiji yote ya Tanzania pia ujenzi wa nyumba zao katikati ya cbd ipo njema, kwa kweli kazi iendelee.
Lina mpangilio kuliko Mwanza usitafute pa kutokea 😁😁.

Jiji lenye mpangilio mzuri kuliko yote Ni Dom na Tanga usijitoe ufahamu.
 
Lina mpangilio kuliko Mwanza usitafute pa kutokea 😁😁.

Jiji lenye mpangilio mzuri kuliko yote Ni Dom na Tanga usijitoe ufahamu.
Dodoma ni jiji lenye mpangilio kuliko yote😂😂😂 wakati ni mkoa wa mwisho kwa anuani za makazi, endelea kujifaraji.
 
Viwanda 5 vya kuchakata mafuta ya Parachichi for exports vinapatikana kwenye Mikoa ifuatayo

1.Mbeya =2,
2.Njomne=1
3.Iringa=1,
4.Songwe=1.

Hapa lazima mpite kimya kimya 😂😂
 

Attachments

  • Screenshot_20221125-102523.png
    Screenshot_20221125-102523.png
    196.9 KB · Views: 8
Viwanda 5 vya kuchakata mafuta ya Parachichi for exports vinapatikana kwenye Mikoa ifuatayo

1.Mbeya =2,
2.Njomne=1
3.Iringa=1,
4.Songwe=1.

Hapa lazima mpite kimya kimya 😂😂
Ata kahama wangekuwa na viwanda vingi tu kama zao la parachichi lingekuwa linalimwa huko, punguza mihemko, na jaribu kuficha ujinga ata mara moja, mbona singida kuna viwanda vingi vya mafuta ya alzeti, mbona mwanza kuna viwanda vingi tu vya mafuta ya pamba.
 
Mwanza wanaviwanda vya kutengeneza meli na boat je nyie mnavyo? Vitu vingine vingine vinatokea kwasababu ya availability ya resources, hii ndio kama ile ile hali hali ya kuwalingishia Nairobi madaraja wakati hawana bahari wala ziwa.
Songoro anafanya uwekezaji Kyela na MbambaBay
 
Siwezi kuonea wivu miji ya ajabu kama hiyo, tatizo unapenda sana siasa kuliko uhalisia wa mambo.
😁😁😁😁.

Mbeya itakupasua bandama wewe kima 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221125-081149.png
    Screenshot_20221125-081149.png
    225 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221125-081031.png
    Screenshot_20221125-081031.png
    149.3 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221125-082129.png
    Screenshot_20221125-082129.png
    157.6 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221125-082320.png
    Screenshot_20221125-082320.png
    196.3 KB · Views: 6
  • 20221125_083118.jpg
    20221125_083118.jpg
    494.9 KB · Views: 8
  • 20221125_081957.jpg
    20221125_081957.jpg
    132.8 KB · Views: 7
  • 20221125_081303.jpg
    20221125_081303.jpg
    72.3 KB · Views: 8
  • 20221125_080059.jpg
    20221125_080059.jpg
    106.1 KB · Views: 6
  • 20221125_081047.jpg
    20221125_081047.jpg
    44.6 KB · Views: 8
Ulishaona chaka lako la kujifichia ni kupost mabasi tu😅😅😅, huko nyanda za juu hakuna vitu vya kuweka zaidi ya mabasi?
Bus gani nimepost hapo?

Mbeya City piga huyu tumbili arudi Saanane 😂😂😂
 

Attachments

  • Screenshot_20221125-083510.png
    Screenshot_20221125-083510.png
    131.9 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221125-080515.png
    Screenshot_20221125-080515.png
    290.9 KB · Views: 6
  • 20221125_083611.jpg
    20221125_083611.jpg
    336.6 KB · Views: 8
  • 20221125_082622.jpg
    20221125_082622.jpg
    440.4 KB · Views: 8
  • 20221125_082212.jpg
    20221125_082212.jpg
    58.8 KB · Views: 7
  • 20221125_081337.jpg
    20221125_081337.jpg
    108.9 KB · Views: 7
  • 20221125_081216.jpg
    20221125_081216.jpg
    507.1 KB · Views: 8
  • 20221125_081017.jpg
    20221125_081017.jpg
    60 KB · Views: 9
  • 20221125_080530.jpg
    20221125_080530.jpg
    114.7 KB · Views: 8
  • 20221125_080533.jpg
    20221125_080533.jpg
    99.1 KB · Views: 8
  • 20221125_080238.jpg
    20221125_080238.jpg
    46.1 KB · Views: 8
  • 20221125_080215.jpg
    20221125_080215.jpg
    57.5 KB · Views: 7
  • 20221125_080209.jpg
    20221125_080209.jpg
    512.8 KB · Views: 8
  • 20221125_080059.jpg
    20221125_080059.jpg
    106.1 KB · Views: 8

Attachments

  • 20221125_081821.jpg
    20221125_081821.jpg
    379.5 KB · Views: 7
  • 20221125_194453.jpg
    20221125_194453.jpg
    159.7 KB · Views: 9
  • 20221125_194427.jpg
    20221125_194427.jpg
    317.1 KB · Views: 8
  • 20221125_194442.jpg
    20221125_194442.jpg
    300.6 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221126-161132.png
    Screenshot_20221126-161132.png
    147.7 KB · Views: 6
  • 20221126_162232.jpg
    20221126_162232.jpg
    80.1 KB · Views: 9
  • 20221126_162151.jpg
    20221126_162151.jpg
    402.8 KB · Views: 7
  • 20221126_162135.jpg
    20221126_162135.jpg
    449.3 KB · Views: 8
  • 20221126_162006.jpg
    20221126_162006.jpg
    95.7 KB · Views: 9
  • 20221126_161638.jpg
    20221126_161638.jpg
    163.8 KB · Views: 7
  • 20221126_161624.jpg
    20221126_161624.jpg
    102.8 KB · Views: 7
  • 20221126_161605.jpg
    20221126_161605.jpg
    76.6 KB · Views: 7
  • 20221126_161101.jpg
    20221126_161101.jpg
    75.4 KB · Views: 10
Na hapa mtakuja na excuse zenu 😁😁.

Mambo yameiva Makambako huko 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221125-193558.png
    Screenshot_20221125-193558.png
    157.7 KB · Views: 10
Uelekeo Ni mmja tuu Njombe 👇
 

Attachments

  • 20221125_194500.jpg
    20221125_194500.jpg
    523.4 KB · Views: 10
  • 20221125_194248.jpg
    20221125_194248.jpg
    297.6 KB · Views: 7
  • 20221125_193851.jpg
    20221125_193851.jpg
    80.8 KB · Views: 8
  • 20221125_194119.jpg
    20221125_194119.jpg
    94.1 KB · Views: 8
  • 20221125_194131.jpg
    20221125_194131.jpg
    55.2 KB · Views: 8
  • 20221125_194045.jpg
    20221125_194045.jpg
    347.1 KB · Views: 10
Ujumbe wako huu hapa
Huu unakuhusu wewe maana anasema anayeumia kwa kuupiga mwingi ni wewe, mimi nimepongeza kwa kuupiga mwingi kwa jitihada za kujenga daraja kwa bei ndogo ila limetoka kwa viwango vya kimataifa mpaka likazinduliwa kwa camera ili wananchi tuone jitihada zilizofanyika
 
Back
Top Bottom