Lete mpyaUnachukua picha ya zamani ndio unaleta humu?
Haters hii inawahusu 👇Huu unakuhusu wewe maana anasema anayeumia kwa kuupiga mwingi ni wewe, mimi nimepongeza kwa kuupiga mwingi kwa jitihada za kujenga daraja kwa bei ndogo ila limetoka kwa viwango vya kimataifa mpaka likazinduliwa kwa camera ili wananchi tuone jitihada zilizofanyika![]()
Www jamaa na mabasi ya wanaume wenzako....Uelekeo Ni mmja tuu Njombe![]()
Unaumia Sana si ndio? 😆😆😆🤸🤸🤸.Www jamaa na mabasi ya wanaume wenzako....
Tunataka tuone KIVEVELE TRANSIT....KIVEVELE TRANS NK...sio kupigia promo mali za watu
Nyie bado mnajenga mijini tu
...
Tuna lami kibaonzinajengwa via Agri connect.Nyie bado mnajenga mijini tu...
Kagera tupo vijijini...siku hiz maendeleo yanafanyika kimya kimya......
Cheki barabara za vijijini huko Rubya muleba kagera 90km from Bukoba....
Wilaya muleba...Tarafa moja tu ya kimwani ndo barabara zake ni changamoto ingawa barabara kuu za mwanza na ile biharamulo zinapita huko...
Lakin Tarafa nzima ya kamachumu na vijiji vyake kuna lami....
Tarafa ya nshamba na vijiji vyake kuna lami
Tarafa ya Izigo vijiji vyake vinalami
Tarafa ya muleba hio ndo kabisa...
NB..wilaya ya muleba pekee ina watu sawa na mkoa mzima wa njombeView attachment 2427763
Imagine hilo vumbiTuna lami kibaonzinajengwa via Agri connect.
On top of that Mikoa yetu inaunganishwa kwa lami na kufungukiwa.Kumbuka Manaibu Waziri wa Ujenzi wote wanatoka Nyanda za Juu Kusini![]()
...Huelewekagi Sasa umeoneshwa ujenzi wa lami unasema vumbi khaa 😜🤪..Imagine hilo vumbi...
Aisee Mbeya Ni kutamu asikwambie mtu..sie tunaita nyumbani.
Look at this view![]()




Hyo picha ya juu ,ikiwa ni mbeya ,nipo paleeAisee Mbeya Ni kutamu asikwambie mtu..sie tunaita nyumbani.
Look at this view![]()