instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,540
- 19,485
Yaan huyu abood...kaangalia maeneo yoteee...kaamua achukue bus zake luxury Bukoba...sio mbeya...sio iringa..sio songea..sio mtwwra but BUKOBA...
Imagine Bukoba everything is improvingView attachment 2422193View attachment 2422194
Bado top slab hapo Sasa sijui unataka kusemaje hasaNaona mnaupiga mwingi wenzetu
View attachment 2426220
Mabehewa ya sgr,route ya Mwanza 😂😂😂🤸🤸Umemuona Sunk farasi yupo hapo kwenye uzinduzi
Safi kabisa wamejitahidi sana kubana matumizi pesa iliyotumika ni ndogo kulingana na kazi kubwa iliyofanyika. Anaupiga mwingi sanaNaona mnaupiga mwingi wenzetu
View attachment 2426220



Mumebakia kuwanga na kutafutiza. matatizo madogo madogo ili kujifariji kwa chuki zenu kwa SSH 😆😆Safi kabisa wamejitahidi sana kubana matumizi pesa iliyotumika ni ndogo kulingana na kazi kubwa iliyofanyika. Anaupiga mwingi sana![]()
Sasa hapa tunawanga vipi mzee wakati ninapongeza?Mumebakia kuwanga na kutafutiza. matatizo madogo madogo ili kujifariji kwa chuki zenu kwa SSH![]()




Kwani hapo kosa lake nini? Wakati anasifia huo mradi ulivyo wa viwango na umejengwa kwa gharama ndogo sana tofauti na makisio yao ya milion 50, hakika mama samia na serikali yake wanaupiga mwingi sana hasa kudhibiti wizi na ufujaji wa pesa za serikali kwenye miradi mbalimbali.Mumebakia kuwanga na kutafutiza. matatizo madogo madogo ili kujifariji kwa chuki zenu kwa SSH 😆😆
Tandale wakasome AhahahahahahaaView attachment 2426713
Jiji la matajiri
Hapa ndio hilipo CBD ya jiji la Mbeya asee, Tanzania tunasafari bado.View attachment 2426713
Jiji la matajiri
Jiji halina tofauti na mbagala.View attachment 2426713
Jiji la matajiri
Tabu sana hii miji yetu.Tandale wakasome Ahahahahahahaa
Et green city ndio limepaukiana hivi ata manyoni inaafadhali😂😂😂😂😂View attachment 2426713
Jiji la matajiri
Ni kama manzese na mburahati...jiji gan hiliView attachment 2426713
Jiji la matajiri
Ukiondoa soko...mbeya haina tofauti na kigogo...tena kule karibu na chawoteView attachment 2426713
Jiji la matajiri

Mimi sina wivu na mji wowote wa Tanzania lakini hili jiji la mbeya linaitaji mipango miji ya uhakika yaani mji karibu wote unaitaji kuvunjwa waanza kuujenga upya, cbd ndio kila kitu lazima pawe vizuri well planned, organized na good infrastructures, hizi nyumba tunategemea kuziona huko ndani ndani na sio kwenye cbd🙏🙏🙏Tandale wakasome Ahahahahahahaa