Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mimi sina wivu na mji wowote wa Tanzania lakini hili jiji la mbeya linaitaji mipango miji ya uhakika yaani mji karibu wote unaitaji kuvunjwa waanza kuujenga upya, cbd ndio kila kitu lazima pawe vizuri well planned, organized na good infrastructures, hizi nyumba tunategemea kuziona huko ndani ndani na sio kwenye cbd
Kwan CBD ya mbeya inajulikana ilipo bas
 
Kuna sank farasi huwa hanatuambia mbeya ina cbd 2 lakini nikagoogle nikasoma nikaona hakuna mji wenye cbd mbili district haziwez kuwa mbili ndani ya city.
CBD Huwa ni Moja ,,,,ila kutokana na mbeya kuwa na disorganized settlement CBD haijulikani ni wapi ,,,,wanaangalia lilipo soko la mwanjelwa au stendi ya daladala kabwe au kwenye ofisi za benki uhindini
 
Kwani hapo kosa lake nini? Wakati anasifia huo mradi ulivyo wa viwango na umejengwa kwa gharama ndogo sana tofauti na makisio yao ya milion 50, hakika mama samia na serikali yake wanaupiga mwingi sana hasa kudhibiti wizi na ufujaji wa pesa za serikali kwenye miradi mbalimbali.

Tupo pamoj na mama kwenye safari ya ku
 
Hapa ndio hilipo CBD ya jiji la Mbeya asee, Tanzania tunasafari bado.
Hii inaingia mara ngapi kwa mji wa kawaida huko kenya wa eldoret.
We acha tu mambo mengine ni aibu. Tumefika hapa kwa ujinga wa wanasiasa na siasa chafu kuongoza nchi.
 

Kuna mtu yuko busy kucheka watu wa milimani mwanza.

Sasa hizi nyumba zinafanana na ule uchafu wa huko Mwanza? Unatafuta kujifariji tuu hapa..

Picha zinaongea sio blaa blaa zisizo na msingi 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221125-081653.png
    Screenshot_20221125-081653.png
    147.5 KB · Views: 8
  • job_mbeya_jiji_letu_1669357794388485.jpg
    job_mbeya_jiji_letu_1669357794388485.jpg
    41.5 KB · Views: 9
  • job_mbeya_jiji_letu_166935779438867.jpg
    job_mbeya_jiji_letu_166935779438867.jpg
    49.6 KB · Views: 9
  • job_mbeya_jiji_letu_1669357794387789.jpg
    job_mbeya_jiji_letu_1669357794387789.jpg
    68.1 KB · Views: 9
  • 20221125_085019.jpg
    20221125_085019.jpg
    91.1 KB · Views: 9
  • 20221125_084912.jpg
    20221125_084912.jpg
    82.8 KB · Views: 9
  • 20221125_084625.jpg
    20221125_084625.jpg
    478.2 KB · Views: 9
  • 20221125_084622.jpg
    20221125_084622.jpg
    356.1 KB · Views: 9
  • 20221125_084512.jpg
    20221125_084512.jpg
    67.7 KB · Views: 9
  • 20221125_083118.jpg
    20221125_083118.jpg
    494.9 KB · Views: 11
  • 20221125_081432.jpg
    20221125_081432.jpg
    52.9 KB · Views: 9
  • 20221125_081303.jpg
    20221125_081303.jpg
    72.3 KB · Views: 9
  • 20221125_081047.jpg
    20221125_081047.jpg
    44.6 KB · Views: 9
  • 20221125_080059.jpg
    20221125_080059.jpg
    106.1 KB · Views: 9
  • 20221125_080209.jpg
    20221125_080209.jpg
    512.8 KB · Views: 9
Mbeya imeshika nafasi ya mwisho Kwa usafi wa majiji.kama ilivyo kawaida yake miaka yote .. ripoti mwaka huu
Kwa mpangilio huo wa nyumba ina haki na baraka zote kuwa ya mwisho. Mipango miji wauangalia mji huu kwa jicho la huruma. Vijumba vyote vya udongo kwenye CBD vibomolewe na kupangwa upya.
 
Hapa ndio hilipo CBD ya jiji la Mbeya asee, Tanzania tunasafari bado.
Hii inaingia mara ngapi kwa mji wa kawaida huko kenya wa eldoret.
Naona Sukuma gang mnaoishi kwenye ule uchafu wa milimani Mwanza mumekuja kujifariji humu 😂😂..

Nafahamu Kuna mitaa hamuwezi kuweka ila mtatafuta maeneo yanayowafurahisha ili kusapoti ego zenu zenye chuki.
 
Kwa mpangilio huo wa nyumba ina haki na baraka zote kuwa ya mwisho. Mipango miji wauangalia mji huu kwa jicho la huruma. Vijumba vyote vya udongo kwenye CBD vibomolewe na kupangwa upya.
90% ya Mwanza mnaishi kule kwenye dream houses zenu za milimani 😆😆.

Nyumba za Mbeya licha ya kuwa slums Ni Bora kuliko.zile za Mwanza ambazo sio tuu Ni slums Bali hazina sifa za nyumba Ni full mabanda na Mawe na Hakuna Barabara..

Mengine ni kujifariji tuu.
 
Ukiondoa soko...mbeya haina tofauti na kigogo...tena kule karibu na chawote
Soko gani?

Tunaomba uweke hapa video za mitaa ifuatayo.

City centre,
Ituha,
Forest mpya,
Forest ya Zamani,
Mafiat,
Uyole,
Uzunguni,
Tazara,
Iwambi,
Ituka,
Veta Ikulu,
Isyesye..
 
90% ya Mwanza mnaishi kule kwenye dream houses zenu za milimani .

Nyumba za Mbeya licha ya kuwa slums Ni Bora kuliko.zile za Mwanza ambazo sio tuu Ni slums Bali hazina sifa za nyumba Ni full mabanda na Mawe na Hakuna Barabara..

Mengine ni kujifariji tuu.
Huishiwagi maneno baba
 
Huishiwagi maneno baba
Umeshajiandaa kisaikolojia lakini kupanda kwenye Mabehewa ya hii bullet train yenu? 😁😁😁😁..

Tumeambiwa hayo ndio Mabehewa ya masafa marefu Mikoa ya Mwanza,Kigoma,Katavi nk ..

Hayo Mabehewa yenu na ya Tazara yapi Bora? 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221125-075030.png
    Screenshot_20221125-075030.png
    215 KB · Views: 9
Back
Top Bottom