Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Attachments

  • 20221122_191747.jpg
    20221122_191747.jpg
    42.5 KB · Views: 9
  • 20221122_192343.jpg
    20221122_192343.jpg
    37.5 KB · Views: 8
  • 20221122_191641.jpg
    20221122_191641.jpg
    36.1 KB · Views: 9
Nimecheka Sana yaani..

Soma hapa
Hebu tumia akili japo kidogo...Huyo anatangaza biashara yake...hayo mbona ya kawaida sana kwa Bukoba?

Unakumbuka Dar lux zilikuwa zinaenda Bukoba? Hata happination za sasa hiv ziko vzr na inawezekana zinazidi hizo abood zake...

Muache aje kwa mbwembwe...hasiposoma wasafiri wake vzr hio route yake ataifuta tu
 
Hebu tumia akili japo kidogo...Huyo anatangaza biashara yake...hayo mbona ya kawaida sana kwa Bukoba?

Unakumbuka Dar lux zilikuwa zinaenda Bukoba? Hata happination za sasa hiv ziko vzr na inawezekana zinazidi hizo abood zake...

Muache aje kwa mbwembwe...hasiposoma wasafiri wake vzr hio route yake ataifuta tu
😂😂😂😂😂 Wewe ndio huna akili kwani hujasoma hayo maelezo mnayoshangilia Hilo lichuma la zamani mkiita Luxury?

Mlivyoona ule msururu wa chuma mpya mkajua zinakuja huko😆😆😆😆 .

Gari mpya zimeenda njia ya Mbeya afu hayo yakiyochoka wameyaleta Bukoba na Arusha.

Soma hapa Tena 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221123-094503.png
    Screenshot_20221123-094503.png
    300.2 KB · Views: 6
Wewe ndio huna akili kwani hujasoma hayo maelezo mnayoshangilia Hilo lichuma la zamani mkiita Luxury?

Mlivyoona ule msururu wa chuma mpya mkajua zinakuja huko .

Gari mpya zimeenda njia ya Mbeya afu hayo yakiyochoka wameyaleta Bukoba na Arusha.

Soma hapa Tena
Tafuta hela na wew ununue mabus yako...sina muda wa kubishania mali za wanaume kama mimi....
 
Kwamba wakina nshomile walikuwa wamezoea mabasi hardcore, na siyo luxury, alafu huyo mwandishi ana maanisha gari za luxury zilikuwa hazijawahi kuingia bukoba😂😂😂😂, mwandishi fala sana.
😁😁😁😁 Nyie Mwanza na Bukoba hamchekani maana wote mabasi yenu Ni dume Kama haya hapa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221123-094529.png
    Screenshot_20221123-094529.png
    182.3 KB · Views: 8
  • 20221123_094429.jpg
    20221123_094429.jpg
    114.3 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221124-074223.png
    Screenshot_20221124-074223.png
    193.2 KB · Views: 8
Unataka tuwe na mabasi majike kama nyanda za juu kusini😂😂😂
Hayo yenu Ni matela ya tractors sio mabasi 😂😂😂😂.

Mabasi huwa yanafanana hivi 👇
 

Attachments

  • 20221123_095621.jpg
    20221123_095621.jpg
    124.9 KB · Views: 9
  • 20221123_095613.jpg
    20221123_095613.jpg
    79.4 KB · Views: 9
  • 20221123_095454.jpg
    20221123_095454.jpg
    147.1 KB · Views: 9
  • 20221123_095423.jpg
    20221123_095423.jpg
    388.4 KB · Views: 9
  • 20221123_095229.jpg
    20221123_095229.jpg
    126.2 KB · Views: 9
  • 20221123_094758.jpg
    20221123_094758.jpg
    108.9 KB · Views: 9
  • 20221122_192524.jpg
    20221122_192524.jpg
    103.5 KB · Views: 9
  • 20221122_191947.jpg
    20221122_191947.jpg
    135.7 KB · Views: 9
  • 20221122_190357.jpg
    20221122_190357.jpg
    111.3 KB · Views: 9
  • 20221122_185506.jpg
    20221122_185506.jpg
    64 KB · Views: 9
  • 20221122_190054.jpg
    20221122_190054.jpg
    99.3 KB · Views: 8
  • 20221122_184923.jpg
    20221122_184923.jpg
    485.5 KB · Views: 9
  • 20221123_095747.jpg
    20221123_095747.jpg
    138.7 KB · Views: 9
  • 20221123_100123.jpg
    20221123_100123.jpg
    188.7 KB · Views: 8
  • 20221123_144403.jpg
    20221123_144403.jpg
    50.1 KB · Views: 8
  • 20221125_074842.jpg
    20221125_074842.jpg
    107.8 KB · Views: 7
Tafuta hela na wew ununue mabus yako...sina muda wa kubishania mali za wanaume kama mimi....
Huku Ni kukata tamaa,hatubishanii Mali za watu Bali Huduma zinazopatikana maeneo yetu.

Naona umekubali Sasa kwamba Mbeya is next level 👇
 

Attachments

  • 20221124_074053.jpg
    20221124_074053.jpg
    77.2 KB · Views: 10
  • 20221124_074156.jpg
    20221124_074156.jpg
    33.8 KB · Views: 10
  • 20221124_074504.jpg
    20221124_074504.jpg
    72.8 KB · Views: 10
  • 20221124_074248.jpg
    20221124_074248.jpg
    86.3 KB · Views: 9
  • 20221123_144403.jpg
    20221123_144403.jpg
    50.1 KB · Views: 10
  • 20221124_073950.jpg
    20221124_073950.jpg
    81.5 KB · Views: 10
  • 20221124_073948.jpg
    20221124_073948.jpg
    63.5 KB · Views: 9
  • 20221124_073954.jpg
    20221124_073954.jpg
    75.9 KB · Views: 10
Kwamba wakina nshomile walikuwa wamezoea mabasi hardcore, na siyo luxury, alafu huyo mwandishi ana maanisha gari za luxury zilikuwa hazijawahi kuingia bukoba, mwandishi fala sana.
Huyo anafanya utani tu kuna Happy Nation, Frester alileta vitu vipya sema huyu ameamua kuzingua tu
 
We jamaa kwani wenye mabasi ni mabwana zako mbona una promote sana mabasi ya wanaume wenzako
Ulitaka Ni promote mabasi ya Wanawake wenzako?

Hii unaionaje? Lazima upate wivu na hautokuja kumiliki hata bajaji 👇
 

Attachments

  • 20221124_152936.jpg
    20221124_152936.jpg
    81.5 KB · Views: 7
Back
Top Bottom