Yes Kampuni ya wazawa ya Abemulo imejenga barabara kadhaa hapo Bukoba mjini kwa pesa zake tu bila mchango wa serikali...eti watu walitaka kujenga barabara za lami kwenye mitaa Yao .
Aisee this is too much
Sio tuu Ni mengi Bali Ni mabasi makali Tanzania nzima.Ina mabasi mengi route ya mbeya - dar not otherwise.
😆😆😆😆😆 Yaani Nimecheka Sana leo jamaa unalalamika Kama umechukuliwa mke 👇Yes Kampuni ya wazawa ya Abemulo imejenga barabara kadhaa hapo Bukoba mjini kwa pesa zake tu bila mchango wa serikali...
Barabara kadhaa za mtaa wa hamgembe maeneo ya kanoni...zimejengwa na hili kampuni kwa hela zake bila mchango wa serikali....
Barabara ya migera c hapo Bukoba imejengwa na mtu binafsi...
Taa za mjini kati barabara ya kashozi zimewekwa na mtu binafsi..ni mzawa mmoja hiv na kampuni lake la umeme..
Mbona zipo barabara nyingi tu Bukoba zinajengwa na watu binafsi...mimi huwa nashangaa watu wanaosema watu wa Bukoba hawawekezi kwao...
Mkuu kwa Kusini Mbeya inafunika..Kwa mikoan kwa Sasa mbeya inafunika kuwa na mabus mengi
View attachment 2422669
😂😂😂😂😂 kwamba wakina nshomile waitu+ watu wa kaskazini wamezoea kudeka na kudemka tu😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅Bukoba,...iache kudeka kama mji ulioachwa wakati Kuna miji mingine Tena ni potential lakin imetelekezwa kimiundombinu ..mi sijaona watu wa shinyanga wakilalamika ..wakati ni mji unaotoa almasi na dhahabu Kwa wingi .lakini Hadi sasa hawana stendi ya kisasa , uwanja wa ndege mzuri hawana ,huduma bado ziko chini ...
Bukoba mmejengewa veta , terminal nzuri ya airport,nk lakin bado malalamiko kibao ....
Ifike wakati serikali iruhusu serikali ya majimbo ili kupunguza malalamiko
Bukoba miradi mingi itajengwa lakini sio stendi maana wanasiasa wameifanya sehemu ya kuombea kura, tusubiri 2025 hiyo ndo itakuwa agenda yao kuhusu kujenga stendi kama ilivyokuwa chaguzi zilizopita lakini hakuna kinachoendeleaKaribu miji yote Tz kuna stendi za kisasa...lakin Bukoba mjini inashindikana...
Mpango wa ujenzi wa stendi ulikuwepo yoka 2008....leo tunakaribia 2023..wanasema wanasubiri tactic...
2014 ndo nilishangaa sana kabisa...yaan CCM wenyew kwa wenyew wagombane kwa sababu ya maslahi yao ya kutaka ubunge tena watu wawili tu na wafuasi wao....pesa ndo zirudishwe na ujenzi wa stendi ya Bukoba kusitishwa?
Kama hio serikali hawaone faida ya Bukoba nchi hii ..wapaache pajitawale penyew..
Hakuna cha maana kinafanyika Bukoba...
Yaam Bukoba ya 1979 ni bora kuliko Bukoba ya 2022
Kuna mradi wa tactic mtajengewa ni mwaka ujao mwezi wa tatu, lakini mpunguze kudeka kama mkulungwa hapo juu alivyowaambia😂😂😂😂😂😂Bukoba miradi mingi itajengwa lakini sio stendi maana wanasiasa wameifanya sehemu ya kuombea kura, tusubiri 2025 hiyo ndo itakuwa agenda yao kuhusu kujenga stendi kama ilivyokuwa chaguzi zilizopita lakini hakuna kinachoendelea
Kiukweli Tanzania bado sana ...yaani mtu anakuja kuomba kura Kwa kuahidi stendi...Kuna ignorance ya Hali ya juu sana ......Bukoba miradi mingi itajengwa lakini sio stendi maana wanasiasa wameifanya sehemu ya kuombea kura, tusubiri 2025 hiyo ndo itakuwa agenda yao kuhusu kujenga stendi kama ilivyokuwa chaguzi zilizopita lakini hakuna kinachoendelea
Wanadanganywa kwenye vitu visivyo na tija kiuchumi.Kiukweli Tanzania bado sana ...yaani mtu anakuja kuomba kura Kwa kuahidi stendi...Kuna ignorance ya Hali ya juu sana ......
Sisi tulitarajia mmpe kura ili aimarishe Hali ya uchumi wa mkoa kupitia sekta za kilimo , uvuvi,na biashara.na aboreshe huduma zote za msingi kuanzia maji Hadi umeme
Tatizo sio wanaahidi nini kama lina tija kwa wananchi Bali ni kuahidi bila kutimiza, Kuna sehemu wanaahidiwa umeme mpaka kwa kumwaga nguzo ila baada ya uchaguzi zinaondolewa usikuKiukweli Tanzania bado sana ...yaani mtu anakuja kuomba kura Kwa kuahidi stendi...Kuna ignorance ya Hali ya juu sana ......
Sisi tulitarajia mmpe kura ili aimarishe Hali ya uchumi wa mkoa kupitia sekta za kilimo , uvuvi,na biashara.na aboreshe huduma zote za msingi kuanzia maji Hadi umeme
TetetehhhhhView attachment 2422189
Karibu mwanza Sunk Fallacy, nakupa hongera siku hizi matusi umeacha ndio ustaarabu huo.
Ila majuzi nilikuona umewavamia watu wa Arusha kwenye uzi wao walikutakana balaa😂😂😂
Nimecheka Sana yaani..😁😁😁😁Yes Kampuni ya wazawa ya Abemulo imejenga barabara kadhaa hapo Bukoba mjini kwa pesa zake tu bila mchango wa serikali...
Barabara kadhaa za mtaa wa hamgembe maeneo ya kanoni...zimejengwa na hili kampuni kwa hela zake bila mchango wa serikali....
Barabara ya migera c hapo Bukoba imejengwa na mtu binafsi...
Taa za mjini kati barabara ya kashozi zimewekwa na mtu binafsi..ni mzawa mmoja hiv na kampuni lake la umeme..
Mbona zipo barabara nyingi tu Bukoba zinajengwa na watu binafsi...mimi huwa nashangaa watu wanaosema watu wa Bukoba hawawekezi kwao...
List ya Njombe-Dar 👇Kwa mikoan kwa Sasa mbeya inafunika kuwa na mabus mengi
View attachment 2422669
Bwege sana wewe😂😂😂😂😂Nimecheka Sana yaani..😁😁😁😁
Soma hapa 👇
Kwamba wakina nshomile walikuwa wamezoea mabasi hardcore, na siyo luxury, alafu huyo mwandishi ana maanisha gari za luxury zilikuwa hazijawahi kuingia bukoba😂😂😂😂, mwandishi fala sana.Bwege sana wewe😂😂😂😂😂
Mbona kama parking ya barabarani.Mafinga Stand 👇