Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Sisi tulikuwa Iringa ila kwa Sasa tunadai chetu.
Oh...kumbe na Iringa kuna uwanja wa ndege?

Imagine Iringa airport vs Bukoba airport

Iringa ni kama shule ya chekechea
images%20(13).jpg
images%20(3).jpg
 
Unafanyiwa renovation kubwa mkuu
Ndo tofauti ya maendeleo...bukoba hakuna stendi ya mabasi ni uchochoro tu...lakin kuna...

1. Uwanja wa ndege mzr..wenye terminal bora inazidi hadi terminal zote Tz ukitoa ile ya KIA na JNIA...

2. Kuna bandari mbili nzr kubwa..bukoba port na kemomdo port...bukoba port ina terminal bora na nzr kuliko port nying tz..

3. Bukoba kuna uwanja wa mpira bora kabisa wa viwango vya fifa..kaitaba sawa tu na ule wa Chamazi...uko top five ya viwanja vyenye pitch nzr zaidi Tz
 
Wanajua wenyew na CCM yao...may be aliona atampiga kete 2025...si unajua sasa hiv they don't care about Tanzania na maisha yao...wao wanatarget 2025...wapate urais, uwaziri mkuu nk...

Sisi watu weusi ni wabinafsi kweli kweli...hata huyo bashungwa kajenga stendi nzr ya mabasi jimboni kwake karagwe huko...wakati stendi ya Bukoba mji mkubwa zaidi kagera hauna stendi zaidi ya hiki kichochoro
Siasa in everything...

Manispaa kama Bukoba 2020 ingeshakuwa na stendi..lakin CCM wakapiga stop ujenzi wake eneo la kyakairabwa kisa ukamikishaji wake utawapa credit upinzani ukiokuwa unaongoza manispaa ya Bukoba....2020 ccm wamechukua jimbo lakin toka mwaka huo hadi sasa 2023 wanasubiri mradi w a tactic....
Na chalamila amekuja juzi ashaanza kurudisha migogoro tena hapo Bukoba ya mahali pa ujenzi wa stendi...so zile hela zilizojenga ya kyakairabwa zitapotea bure...

Ni hayo tu ndo Maana Bukoba hakunaga stendi hadi leo...imagine stendi ya Bukoba inazidiwa na bariadi, korogwe, singida na miji mingine midogo midogo...
Yaani ni mambo fulani hivi ya kipuuzi. Ukiuliza tatizo ni nini unaambiwa eti ni siasa za Bukoba.

Hivi kuna mwanasiasa wa ngazi ipi ndani ya mkoa ambaye anamzidi Rais kufanya maamuzi? Mbona kwingine kumejengwa kwa amri amri tu za serikali ila Bukoba ni siasa ndizo zinakwamisha unashindwa kupata majibu.

Hivi Rais, Makamu, Waziri mkuu wakisema stend na soko vimejengwe na pesa zipo, kuna mtu atajitokeza na kusema haijengwi na kweli isijengwe?

Kama ndio hivyo basi Bukoba ina mipaka yake katika nchi hii kwenye ngazi ya maamuzi.
 
Karibu miji yote Tz kuna stendi za kisasa...lakin Bukoba mjini inashindikana...

Mpango wa ujenzi wa stendi ulikuwepo yoka 2008....leo tunakaribia 2023..wanasema wanasubiri tactic...

2014 ndo nilishangaa sana kabisa...yaan CCM wenyew kwa wenyew wagombane kwa sababu ya maslahi yao ya kutaka ubunge tena watu wawili tu na wafuasi wao....pesa ndo zirudishwe na ujenzi wa stendi ya Bukoba kusitishwa?

Kama hio serikali hawaone faida ya Bukoba nchi hii ..wapaache pajitawale penyew..
Hakuna cha maana kinafanyika Bukoba...
Yaam Bukoba ya 1979 ni bora kuliko Bukoba ya 2022
 
Bukoba,...iache kudeka kama mji ulioachwa wakati Kuna miji mingine Tena ni potential lakin imetelekezwa kimiundombinu ..mi sijaona watu wa shinyanga wakilalamika ..wakati ni mji unaotoa almasi na dhahabu Kwa wingi .lakini Hadi sasa hawana stendi ya kisasa , uwanja wa ndege mzuri hawana ,huduma bado ziko chini ...
Bukoba mmejengewa veta , terminal nzuri ya airport,nk lakin bado malalamiko kibao ....
Ifike wakati serikali iruhusu serikali ya majimbo ili kupunguza malalamiko
 
Kabisa maana wameshindwa kutoa maamuzi kwa maslahi ya wengi yanayokwamishwa na watu wawili wenye malengo yao binafsi?Madiwani na Mbunge wanateuliwa na kamati kuu ya chama aidha ya mkoa au Taifa,

RC,RAS,DC,DED,DAS hawa ni teuzi za Rais na ndio wote wanapanga mipango ya maendeleo na kusimamia Ilani ya chama kilichowateua, sasa ni yupi wa kukwamisha mradi wa mkoa/wilaya na akabaki salama kwenye nafasi yake?
 
Bukoba,...iache kudeka kama mji ulioachwa wakati Kuna miji mingine Tena ni potential lakin imetelekezwa kimiundombinu ..mi sijaona watu wa shinyanga wakilalamika ..wakati ni mji unaotoa almasi na dhahabu Kwa wingi .lakini Hadi sasa hawana stendi ya kisasa , uwanja wa ndege mzuri hawana ,huduma bado ziko chini ...
Bukoba mmejengewa veta , terminal nzuri ya airport,nk lakin bado malalamiko kibao ....
Ifike wakati serikali iruhusu serikali ya majimbo ili kupunguza malalamiko
Nani kakwambia Bukoba sio potential...hiv kuna mkoa umezungukwa na nchi nyingi kama Kagera...kagera imepakana Uganda, Rwanda, burundi na kenya upande wa ziwa...

Bora hata stendi ya shinyanga ina lami..hiv ushawahi fika stendi ya Bukoba mvua ikikoma?
Watu wanafika hatua ya kuvaa mabuti na mvua za Bukoba zilivyo mwaka mzima....
Imagine wale wapiga debe wanavua kabisa viatu kwa ajili ya tope...
Kuna hadi huduma ya kuosha miguu...

Unajua mtu akizungumzia Bukoba mtu anapaniki anafikiri wahaya tu ( maana kuna wengine wana chuki zao wanazozijua na kabila hili)...lakin trust me daladala za mtukula zinatumia stendi..na asilimia kubwa ni waganda...zile coaster za benaco na Rusumo Huko zinatumia stendi hii...asilimia kubwa ni wahangaza na watutsi..magari ya kampala yanatumia stendi hii, magari yote ya mikoani yanatumia stendi hii...

Imefikia hatua stendi imekuwa na shift..asubuhi saa 12 hadi Saa 5...ni mabasi tu.na kweli ukienda asubuhi unakuta mabasi tu...
Saa tano hadi jioni saa 11 ni zile hiace na coster za wilaya...ambazo zinajaza stendi hadi barabarani maana ni nyingi sana...bado bajaji, bodaboda na baiskeli zote hupaki hapo hapo stendi bila kusahau tax...stendi inabana kiasi kwamba mabasi hayapaki hapo mchana, yanapaki huko kwenye stendi zao..

Saa 11 hadi asubuhi ni mabasi tu...

Shinyanga mji poa kabisa ule..mji una barabara zinataa..watu wa shinyanga hawalalamiki labda ni wapole...labda hawana access na exposure ya wap kutema nyongo zao

Unafikiri watu wa Bukoba hawana uwezo wa kujenga stendi?..vip halmashauri iliyoongozwa na chadema miaka 2015 hadi 2020 mbona ilianza ujenzi wake japo ilizuia na DC kinawiro 2020..eti wanasubiri pesa na bla bla..si wangeacha at least wakajenga hapa pavements na huduma za choo na uzio wahamishe stendi pale matopeni....

Kuna watu hadi walifika hatua wanataka kujenga barabara za lami kwenye mitaa yao..serikali inazuia na kusema iko kwenye mipanga...kama sasa hiv wanavyojibu..eti stendi iko kwenye mipango..mipango ya tangu 2008?
 
eti watu walitaka kujenga barabara za lami kwenye mitaa Yao . Aisee this is too much
 
Ubora wa TAZAM HIGHWAY ndo unavutia zaidi uwekezaji na kupitia hii Barabara miji haijaachana sana kitu kinachochochea uwingi wa abiria pia ndo Barabara yenye visima vingi vya mafuta kutokana na ongezeko la magari watu wametumia fursa
FB_IMG_16689872286318435.jpg
FB_IMG_16689871630441523.jpg
FB_IMG_16689869419104625.jpg
FB_IMG_16689870734647391.jpg
FB_IMG_16689871509742546.jpg
FB_IMG_16689875994803583.jpg
FB_IMG_16689845017695834.jpg
 
Back
Top Bottom