Kahama VS Njombe/Mafinga

Hadhi iliyokuwa nayo Mwanza kipindi inapata city status, mbeya hii bado haijafika.
Hakuna unachojua zaidi ya maujinga

Unakumbuka Kuna wimbo msaani fulani aliimba kwamba Kama Mwanza Ni Jiji kwa Nini Mbeya usiwe jiji?

Kipindi Majiji yelikuwa yanaendana,Mwanza umekimbia baada ya Barabara ya Dar kufunguka kipindi Cha Mkapa,Mbeya Kuna lami hadi Wakati Mwanza lazima Uzunguke Nairobi.
 
Ila hajafikia matajiri wa mabasi kanda ya ziwa kama wakina nyehunge, allys n.k, hao wana vitu vya ukweli sana.
Wewe una shida Tena sio ndogo,Msigwa ana mpango wa kwenda Mikoa yote hapa Tanzania.

Kabakiza Mikoa Michache Sana Kama unavyoweza ona kwenye ramani hapo chini, sehemu ambayo Hakuna gari lao ujue ndio Mkoa bado..

Huyu jamaa Ni fighter Sana Miaka ya 2000's nasoma Songea alikuwa na Bus chache Sana lakini Leo sio mwenzio Tena..

Hiyo Bus ya rangi ya brown ndio bus zake za Mwanzo kabisa enzi hizo Kuna kina Scandinavia ๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • 20221120_124822.jpg
    47.4 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221120-125143.png
    152.6 KB · Views: 5
  • 20221120_125222.jpg
    120.2 KB · Views: 5
Jamaa ni mshamba sana, ngoja apate traffic lights ata post humu balaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nipate wapi? Mbona ziko karibu kila Mji saizi?

Hayo mengine mnajifariji tuu..

Eti wanataka Kuehindana na Mbeya kwa Buses Kali haiwezekani nyie komaeni na sgr ya Mchongo tuu๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-114058.png
    228.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221120-113653.png
    194.7 KB · Views: 4
  • 20221120_113302.jpg
    89.9 KB · Views: 4
  • 20221119_205932.jpg
    331.7 KB · Views: 5
  • 20221120_113542.jpg
    310.3 KB · Views: 4
  • 20221120_113440.jpg
    71.1 KB · Views: 5
Nipate wapi? Mbona ziko karibu kila Mji saizi?

Hayo mengine mnajifariji tuu..

Eti wanataka Kuehindana na Mbeya kwa Buses Kali haiwezekani nyie komaeni na sgr ya Mchongo tuu๐Ÿ‘‡
Naye anajitaiditaidi atafika tu level za matajiri wa mabasi kanda ya ziwa.
 
Una habari lami ya mwanza mpaka Shinyanga mpakani kajenga Mwinyi?
Kuzungukia Nairobi inahusiana nini na hadhi ya jiji?
 
Una habari lami ya mwanza mpaka Shinyanga mpakani kajenga Mwinyi?
Kuzungukia Nairobi inahusiana nini na hadhi ya jiji?
Umesoma maelezo yangu hapo Juu? Nimekwambia kabla ya Barabara kufunguka Mbeya na Mwanza vilikuwa sawa tuu ila gap limeanza baada ya Mkapa kufungua hiyo Road..

Kwa Nini isihusiane? Kwani hujui kwamba shughuli za biashara na Mikoa ziliimarishwa baada njia kufunguka?
 
Sijasingizia ukweli ndio huo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Wake kukanusha kama sio stendi kuu yao
Nyie watu wa njombe nawapa miaka 10 kama mtakuja kupata stendi kama hiyo ya bukoba mjini kwa wakinanshomile waitu.
 
Mbeya haijawahi kuwa sawa na Mwanza, wakati Mwanza ikiitwa jiji, mbeya ilikuwa ni kijiji cha wauza viazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ