Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hivi ukiacha Mwanza jiji Kuna Mji gani huko Kanda ya Ziwa unaweza shindana na Tunduma?

Ujenzi wa soko la Kisasa la Machinga Kama la Dom ukiendelea Tunduma 👇
 

Attachments

  • tunduma_town_council_166886094672573.mp4
    5 MB
  • tunduma_town_council_1668861033950179.jpg
    tunduma_town_council_1668861033950179.jpg
    203.7 KB · Views: 10
  • tunduma_town_council_1668861033950394.jpg
    tunduma_town_council_1668861033950394.jpg
    199.6 KB · Views: 11
  • tunduma_town_council_1668861033949121.jpg
    tunduma_town_council_1668861033949121.jpg
    185.4 KB · Views: 10
  • tunduma_town_council_1668861033949945.jpg
    tunduma_town_council_1668861033949945.jpg
    147.6 KB · Views: 10
  • tunduma_town_council_1668861033949119.jpg
    tunduma_town_council_1668861033949119.jpg
    185.4 KB · Views: 9
Hyo surplus
Lake tuna surplus ya 1+milion tonnes tunakuwaje na njaa ...au hujui maana ya surplus ...kujitosheleza Kwa chakula kunapimwa na kipimo kijulikanacho kama SSR self sufficient ratio .ambapo ukiwa na zaidi ya 120 ratio Eneo Hilo linajitosheleza Kwa chakula ..ukanda wa ziwa una ratio ya 128 ..
Afu Southern Highlands tuna surplus ngapi? 😂😂.

Ndio maana umekwepa kutaja 😁😁
 
Tanzania: Coastal Tanzania (Districts and Wards) - Population Statistics, Charts and Map
View attachment 2420854

Kuundwa kwa Mkoa wa Katavi naimani Kanda ya Magharibi ipo njiani (Katavi/Kigoma na Tabora)
Ipo njiani kivipi wakati Kanda ya Magharibi ipo hata kabla ya Katavi..

Katavi imeongezea tuu
 
Hapa umempiga za kichwaa
Secta zote alizokuq anajisifia mara uzalishaji wa mazao umempiga chini
Yaani nyie ndio washamba..Ni siku Nyingi tuu na hata ukiangalia takwimu za wizara ya kilimo ,Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini haipo Tena kwenye too producer wa vyakula..

Kwa mfano mahindi ukiacha Ruvuma Kuna Kigoma,Dodoma nk..

Mpunga Kuna Morogoro,Shinyanga,Geita,Arusha nk.
 
😆😆😆😆 Wivu ukakuua..

Tunduma inaizidia Kahama Mambo yafuatayo ,

Mapato ya ndani,
Masoko,
Stand,
Hospital na Vituo vya Afya,
Majengo ya ghorofa,
Idadi ya magari.
Magari ya Transit 😛😛😛😛😛, umeambiwa Kahama Transit hazipiti?????
 
Back
Top Bottom