The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Ni maajabu ambayo hayako Kahama 😆😆Hapa umeona kuna maajabu gani?
Ni maajabu ambayo hayako Kahama 😆😆Hapa umeona kuna maajabu gani?
Lakini kahama ni manispaa na wakati nyie Tunduma bado ni kijijini kilichochangamka.Ni maajabu ambayo hayako Kahama 😆😆
Ni TC ,Kama sio Rais Samia kukataa kupandisha ingeshakuwa Manispaa..Lakini kahama ni manispaa na wakati nyie Tunduma bado ni kijijini kilichochangamka.
Kahama ilistahili toka enzi za mkapa, sio huruma ya mwendazake.Ni TC ,Kama sio Rais Samia kukataa kupandisha ingeshakuwa Manispaa..
Kahama ishukuru Mwendazake.
Unajua vigezo vya kuwa manispaa.?Ni TC ,Kama sio Rais Samia kukataa kupandisha ingeshakuwa Manispaa..
Kahama ishukuru Mwendazake.
Kahama, Geita na Kibaha zilikuwa kwenye kundi moja. Geita na Kibaha bado ni TC huko kwingine mtasubiria sana.Ni TC ,Kama sio Rais Samia kukataa kupandisha ingeshakuwa Manispaa..
Kahama ishukuru Mwendazake.
Hahaaa hahaaa ngoja nicheke, umefeli kila kitu unakimbilia kwenye mabasiTunduma-Dom .
Shabiby👇
Kwanza tu, ule mradi mkubwa wa maji wa kwanza wa Lake Victoria, target ilikuwa Kahama, sio Shinyanga vijijini, Nyangwale wala Misungwi tena kwa miaka ya hiyo.Kahama ilistahili toka enzi za mkapa, sio huruma ya mwendazake.
Mfano lindi ni manispaa toka henzi za nyerere je inaizidi nini kahama?
Aliyekuambia mbeya ni mji nani ... mbeya ni Kijiji ...kikubwaHalafu Mbeya pa kishamba kweli, hakuna sehemu unaweza toka out na familia zaidi ya kwenda bar
We jamaa Ni kaongo aiseeHalafu Mbeya pa kishamba kweli, hakuna sehemu unaweza toka out na familia zaidi ya kwenda bar
Wpi unaweza Toka out .au uwanja wa sokoineWe jamaa Ni kaongo aisee



Taja sehemu za kutoka out MbeyaWe jamaa Ni kaongo aisee
Kwa hiyo Hakuna Hotels Mbeya?Taja sehemu za kutoka out Mbeya
Leta hoja kws kuleta sehemu za starehe ukiacha bars na viwanja vya malaya pale mafiati😂😂We jamaa Ni kaongo aisee
Ukiambia leta hotel utaleta hivyo vibanda vya mbeya, mbona unakuwa kama hujawahi kutembea.Kwa hiyo Hakuna Hotels Mbeya?
Hotels ndiyo viwanja vya kujidai kwa Mbeya?Kwa hiyo Hakuna Hotels Mbeya?
Mfundishe mtu wa mbeya maana ya viwanja😄😄😄😄😄😄😄😄Hotels ndiyo viwanja vya kujidai kwa Mbeya?
NdioHotels ndiyo viwanja vya kujidai kwa Mbeya?