Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Sio maneno yangu Bali Ni maneno ya wadau,new babies in town.

Twende kazi 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221117-091945.png
    Screenshot_20221117-091945.png
    195.3 KB · Views: 17
  • Screenshot_20221117-092101.png
    Screenshot_20221117-092101.png
    239.2 KB · Views: 17
Njombe-Dom,

Kimbinyiko & Kalubandika 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221115-145259.png
    Screenshot_20221115-145259.png
    262.5 KB · Views: 15
  • Screenshot_20221115-145306.png
    Screenshot_20221115-145306.png
    935.7 KB · Views: 15
Takwimu za mifugo... mapato yatokanayo na mifugo .Kanda ya ziwa imeongoza..
Ilichangia bilioni 500 + wakati Kanda ya nyanda za juu wakiwa na bilioni 100
PSX_20221118_220840.jpg
 
Kigoma ipo Kanda ya ziwa, ila kuanzishwa kwa mkoa wa Katavi wataunda kanda ya Magharibi (Tabora/ Katavi/ Kigoma probably na Rukwa)
Hiyo kigoma inatakiwa hiwe kanda ya magharibi na wakina katavi, rukwa, tabora.
Kwasababu kigoma ni too far from lake victoria.
 
Na uzuri wa toa takwimu wanatoa kutokea Dodoma, hakuna fevor kwenye hizi data
Hapo favour hamna ila naona kuna takwimu za kanda ya ziwa zinapunguzwa ili msijione nyie mko mbali sana kuzidi wengine na kuota mapembe🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom