Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,149
- 7,966
Maeneo gani tofauti na mabatini na igogo wewe ni nguchiro tu, acha kulinganisha makazi ya mwanza na mashimo ya sungura huko mbeya.Yaani wewe huna akili na utafuta kichaka Cha kujifichia..
Eti hizo Ni dosari ndogo ndogo ππππ my God..
Aisew usikuta ndiko unaishi? Limji zima limejaa uchafu huo unasemaje dosari ndogo ndogo? I rest my case.