Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hili lipo makambako town ko sio mnajihakikishia wakati hamjajua maeneo mengine
FB_IMG_16679690953607052.jpg
FB_IMG_16679692122126998.jpg
 
Mlitaka lijengwe Makambako eti???
emoji13.png
emoji13.png
emoji13.png
Sasa ndio Kanisa kubwa kwa sasa Tanzania.
Sema ni kubwa kwa mkoa wa mwanza au Kanda ya ziwa angalia jingine Hilo Endelea kulinganisha makanisa huku mzee yanajengwa SI mchezo Sasa jengo Hilo ndo unasema Tanzania nzima hakuna
FB_IMG_16679751988796920.jpg
FB_IMG_16679754042086287.jpg
FB_IMG_16679702337265418.jpg
 
Mkoa una watu hawazidi laki 9, mnataka na nyie kanisa la watu 7000????
 
Mkoa una watu hawazidi laki 9, mnataka na nyie kanisa la watu 7000????
idadi ya watu sio kigezo mzee swala ni kuwa na pesa na maisha Bora nakuwa wengi alafu ni masikini ni aibu tupu
 
idadi ya watu sio kigezo mzee swala ni kuwa na pesa na maisha Bora nakuwa wengi alafu ni masikini ni aibu tupu
Kuna wasukuma wapo Kilombero, mkakati uliopo ni kuja kufanya kazi ya Bwana hapo Njombe, ni sensa ijayo tu, lazima msome 1.5m. Wasukuma hiyo kazi tunaijua vizuri
 
Back
Top Bottom