Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Huo ni mpango wa Muda mrefu Sana tokea wanajenga reli ya TAZARA walisha panga hivo ndo maana walijenga godawn za kutosha na Crain ya kushushia mizigo ipo maghala ya mafuta yapo na kipindi Cha nyuma miundo mbinu yote ilikuwa inafanya Kaz ko wanarejesha upya kwa kuboresha zaidi na wameongeza eneo la kuweka mizigo na kujenga ghara jipya la mafuta
 
Huo ni mpango wa Muda mrefu Sana tokea wanajenga reli ya TAZARA walisha panga hivo ndo maana walijenga godawn za kutosha na Crain ya kushushia mizigo ipo maghala ya mafuta yapo na kipindi Cha nyuma miundo mbinu yote ilikuwa inafanya Kaz ko wanarejesha upya kwa kuboresha zaidi na wameongeza eneo la kuweka mizigo na kujenga ghara jipya la mafuta nakuna godawn za Kila product na zinaendelea kujengwa
pic-tazara.jpg
12693880083_3c80c10c71_b.jpg
IMG_1470[1].JPG
IMG_1473[1].JPG
 
Uswazi hauko mabatini tuu Bali uko kirumba,Bugando,kuanzia pale bandari Kama unapenda mkolani full uswazi na pananuka hatari,njia yote ya airport kumejaa matakataka ,buzuruga humo yaani Mwanza 90% Ni matakataka Kama hayo .

Hivi watu wa Mwanza huwa mnapata wapi ujasiri wa kuisema Mbeya,nyumba za matope za Mbeya zimazofanana na hizi hapa
Tunajua huna picha za uswazi zaidi ya hizo za milima ya Igogo
 
Back
Top Bottom