The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Acha uongoKuna jengo lile la mahakama liko buswelu.kama unaelekea Kwa mkuu wa wilaya.lile jengo ni moto ....... Tanzania yapo matatu Majengo ya mahakama kama Yale .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo bus ni baya .... huwezi linganisha na vitu hviMbeya- Masasi- Mtwara![]()

Kama Ni baya mbona Hilo zuri la kwenu limeshindwa kufanya safari za Mwanza-Songea?Hilo bus ni baya .... huwezi linganisha na vitu hviView attachment 2416725View attachment 2416726View attachment 2416727View attachment 2416728
Sent using Jamii Forums mobile app
Vituo Jumuishi vya mahakama vipo 6,Dar es salaam2, (Temeke na Kinondoni )Arusha 1, Morogoro 1, Dodoma 1 na Mwanza 1
Oh . sawVituo Jumuishi vya mahakama vipo 6,Dar es salaam2, (Temeke na Kinondoni )Arusha 1, Morogoro 1, Dodoma 1 na Mwanza 1
Hicho cha Mwanza kipo IlemelaVituo Jumuishi vya mahakama vipo 6,Dar es salaam2, (Temeke na Kinondoni )Arusha 1, Morogoro 1, Dodoma 1 na Mwanza 1
Kama Ni baya mbona Hilo zuri la kwenu limeshindwa kufanya safari za Mwanza-Songea?
Endelea kuumia roho![]()

Wapi Kahama uswazini 😁😁.
Naona Leo umekuwa marketing manager wa super feo .Wapi Kahama uswazini.
Njombe![]()

Huwezi mkuta Msukuma nje ya kwao maana hawana Pesa 😂😂Kibadamo hotel makambako and kibadamo hotel ubungo dsm wawekezaji hao
View attachment 2417054View attachment 2417055
Mkoa una wakaazi 800k ila unaendesha Uchumi wa Nchi kwa watu wake kuwekeza Hadi Usukumani 😂😂D's hotel makambako and D's hotel dodoma pesa zinaongea
View attachment 2417048View attachment 2417049
Ni kweli lipo.Acha uongo
BusweluHicho cha Mwanza kipo Ilemela
Nikisema Ilemela namaanisha MunicipalBuswelu