The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Sawa ulitaka niweke nini?👇
Sawa ulitaka niweke nini?👇
Mnaweza ungana Mwanza na Iringa ila hamuwezi kuizidi Mbeya ndio maana unaongea mdomoni bila Takwimu.👇
Acha ukichaa...Mnaweza ungana Mwanza na Iringa ila hamuwezi kuizidi Mbeya ndio maana unaongea mdomoni bila Takwimu.![]()
Ipo Kitambo sana, kumbe huijui hata hiyo Mwanza... nenda Nyakato utaikuta...Hivi Mwanza kuna VETA kweli?
Maendeleo ya Ujenzi wa Chuo Cha VETA Mkoa wa Rukwa![]()
Hujui kusoma? Lami inajengwa au inashushwa na mvua?
Nimeweka Hospital kibao hapo zikizoko ndani ya Jiji la Mbeya mumeshindwa kujibu..
Umeanza Kusini kuna mavumbi halafu ukayaweka mavumbi tuyaone...Hujui kusoma? Lami inajengwa au inashushwa na mvua?
Unataka na mimi niweke mapicha picha kama wewe...?!Nimeweka Hospital kibao hapo zikizoko ndani ya Jiji la Mbeya mumeshindwa kujibu..
Na bado ninazo kwenye List za kutosha zikiwemo under construction
Kama huwezi kuweka endelea kulia lia 👇Unataka na mimi niweke mapicha picha kama wewe...?!
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Ulivyoona hayo mavumbi uliona nini kingine?Umeanza Kusini kuna mavumbi halafu ukayaweka mavumbi tuyaone...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
download kama unavyofanya...Kama huwezi kuweka endelea kulia lia![]()
Ninaweka uthibitisho wa picha na miradi inayonihusu..
Hizi hazipo Mwanza itakuwa, kule kuna Dispensary tu...Ninaweka uthibitisho wa picha na miradi inayonihusu..
Hatufanyi mjadala wa dini hapa kwamba unaamini usichokiona..
Usipoweka basi endelea kuomboleza..
Naendelea kupeleka moto Mwanza..
Mbeya Zonal Referal Hospital![]()