Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Upo sahihi kabisa watu potential wapo mbeya wakipambana na nyumba za udongo katikati ya jiji pia wakiendelea kula vumbi kama nyoka wa jangwani😅😅😅
Leta nyumba za tofari za huko Bugando na uswazi mwingine tulinganishe na nyumba za tope za Mbeya..
 
Hii picha ndio uliyobakiza ukiombwa tofauti na hii huna, mara mwanza uswazi leta hizo picha za uswazi tofauti na hii ya milima za mabatini.
Uswazi hauko mabatini tuu Bali uko kirumba,Bugando,kuanzia pale bandari Kama unapenda mkolani full uswazi na pananuka hatari,njia yote ya airport kumejaa matakataka ,buzuruga humo yaani Mwanza 90% Ni matakataka Kama hayo 😁😁.

Hivi watu wa Mwanza huwa mnapata wapi ujasiri wa kuisema Mbeya,nyumba za matope za Mbeya zimazofanana na hizi hapa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221110-065049.png
    Screenshot_20221110-065049.png
    184.1 KB · Views: 12
  • Screenshot_20221110-064709.png
    Screenshot_20221110-064709.png
    211.1 KB · Views: 11
  • Screenshot_20221110-064544.png
    Screenshot_20221110-064544.png
    545.2 KB · Views: 12
Uswazi hauko mabatini tuu Bali uko kirumba,Bugando,kuanzia pale bandari Kama unapenda mkolani full uswazi na pananuka hatari,njia yote ya airport kumejaa matakataka ,buzuruga humo yaani Mwanza 90% Ni matakataka Kama hayo
Buzuruga ipi wew ... mwanza unasimuliwa tu ...huijui wew ...slum za mwanza ziko kijanja Kam za dar ... huduma zote unapata ila mbeya ni vijiji kabisa , ...Moja slum za buzuruga ni hizo
IMG-20221105-WA0007.jpg
IMG-20221106-WA0022.jpg
IMG-20221106-WA0021.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uswazi hauko mabatini tuu Bali uko kirumba,Bugando,kuanzia pale bandari Kama unapenda mkolani full uswazi na pananuka hatari,njia yote ya airport kumejaa matakataka ,buzuruga humo yaani Mwanza 90% Ni matakataka Kama hayo 😁😁.

Hivi watu wa Mwanza huwa mnapata wapi ujasiri wa kuisema Mbeya,nyumba za matope za Mbeya zimazofanana na hizi hapa 👇
Hizi picha zina utofauti gani? Pia mbona mnapenda kutafuta dosari ndogo kama hii, sehemu za tambarare hampendi kuonesha, ngoja nikuambie hakuna sehemu Tanzania zenye makazi bora kama Mwanza.
 
NY
Huna ata haibu kusema, wasouth wanabeba mazao yenu lakini watoto wenu ndio wanaongoza kwa kwashiokor na viribatumba, pelekeni mazao mzidi kufa kwa utapiamlo.
Kanda ya ziwa mnakufa na njaa hamsemi
 
Hizi picha zina utofauti gani? Pia mbona mnapenda kutafuta dosari ndogo kama hii, sehemu za tambarare hampendi kuonesha, ngoja nikuambie hakuna sehemu Tanzania zenye makazi bora kama Mwanza.
Yaani wewe huna akili na utafuta kichaka Cha kujifichia..

Eti hizo Ni dosari ndogo ndogo 😆😆😆😆 my God..

Aisew usikuta ndiko unaishi? Limji zima limejaa uchafu huo unasemaje dosari ndogo ndogo? I rest my case.
 
Nizionee wivu nyumba za ajabu kama hizo, kama utaona hizo nyumba zako ni bora basi Tanzania bado tupo zama za mawe za kale😝😝😝
Kuwa na aibu Basi,Ni za ajabu kushinda huu uchafu hapa? 👇
 
Attachments

  • Mwanza 3.jpg
    Mwanza 3.jpg
    67.1 KB · Views: 13
  • 2010-09-13_15-13-18_Tanzania_Mwanza_Mwanza.jpg
    2010-09-13_15-13-18_Tanzania_Mwanza_Mwanza.jpg
    1.5 MB · Views: 10
Back
Top Bottom