Kisesa (magu ) ni km 20 to city center.nyagunge (magu) Ni km 30 ,kutoka nyaguge Hadi magu ni chini ya km 20 .ndani ya km 50 tayari ushaanza maeneo ya magu ..hyo km 64 ushafika mpaka wa simiyu sasa .Siyo kweli. Kutoka Magu mjini hadi jijini Mwanza ni km 64 na kutoka Ngudu mjini hadi Jijini Mwanza ni km 96. Aidha kutoka Sengrema hadi Mwanza kupitia Busisi ni km 64. Kutoka Sengerema kupitia Kamanga hadi Mwanza ni km 32.
Mimi nazunguzumzia kutoka makao makuu ya wilaya kuja Jijini Mwanza pale kwenye mzunguko wa Benki kuu na jengo la CCM Mkoa.Kisesa (magu ) ni km 20 to city center.nyagunge (magu) Ni km 30 ,kutoka nyaguge Hadi magu ni chini ya km 20 .ndani ya km 50 tayari ushaanza maeneo ya magu ..hyo km 64 ushafika mpaka wa simiyu sasa .
Hyo ngudu Nako sio 96 ,,labda upitie hungumalwa..ukipitia mabuki ni km 75 .
Suala la sengerema ni ndani ya km 40 tayari uko town ....Tena baada ya daraja ndo kabisa .mim nina washikaji zangu wanakaa buhongwa wanafanya kazi busisi sengerema,na wanaenda kazi daily
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hawataki kubali simiyu wanataka waende wapi ..kuondoa busega ni sawa na kuuvuruga mkoa wa simiyu ..kwanza jina la mkoa linatokana na mto simiyu unaopatikana wilaya ya busegaHiyo taarifa ilikuwepo ila nakuambia kwamba hiyo sasa ni historia, hiyo mipango haipo tena. Hakuna cha Buchosa kwenda Geita. Hizi za mkoa wa Nyanza ni mwaka huu 2022 mwanzoni na chanzo hasa ni Busega hawataki kubaki Simiyu. Suala hili limekaa vizuri kabisa kilichosubiriwa ni sensa tu ikamilike. Ebu vuta subira ndugu utaona.
huo mkoa wa nyanza makao yake yatakuwa wapi ..na vipi ukerewe itakuwa mkoa ganiMimi nazunguzumzia kutoka makao makuu ya wilaya kuja Jijini Mwanza pale kwenye mzunguko wa Benki kuu na jengo la CCM Mkoa.
Ngoja nikusaidie inavyoonekana wewe ni mtupu kwa jiografia. Sikiliza. Kutoka sengerema mpaka Busisi ni maili 18 na kutoka Kigongo Ferry hadi katikati ya Jiji la Mwanza ni maili 22 jumla zinakuwa maili 40 sawa na km 64.Magu mjini hadi katikati ya Jiji la Mwanza ni maili 40 sawa na km 64. Kajipange upya usikurupuke.Kisesa (magu ) ni km 20 to city center.nyagunge (magu) Ni km 30 ,kutoka nyaguge Hadi magu ni chini ya km 20 .ndani ya km 50 tayari ushaanza maeneo ya magu ..hyo km 64 ushafika mpaka wa simiyu sasa .
Hyo ngudu Nako sio 96 ,,labda upitie hungumalwa..ukipitia mabuki ni km 75 .
Suala la sengerema ni ndani ya km 40 tayari uko town ....Tena baada ya daraja ndo kabisa .mim nina washikaji zangu wanakaa buhongwa wanafanya kazi busisi sengerema,na wanaenda kazi daily
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana iko propasal ya kuunda mkoa mwingine huko Mara kwa Bunda kuunganishwa na Ukerewe na Butiama na kupata mkoa mpya. Ukerewe itaondolewa Mwanza.huo mkoa wa nyanza makao yake yatakuwa wapi ..na vipi ukerewe itakuwa mkoa gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo 64 unakuwa ndani ya wilaya ya magu ..hata hyo 30 km unakuwa ndani ya wilaya ya magu ...mtu wa km 64 ni kupita ilungu ,magu town na masanza Kona ..ila maeneo mengine mengi ya wilaya ya magu yako ndani ya km 50... sengerema siijui vizuri siwezi izungumzia .ila nachojua sengerema sio mbali kutoka townNgoja nikusaidie inavyoonekana wewe ni mtupu kwa jiografia. Sikiliza. Kutoka sengerema mpaka Busisi ni maili 18 na kutoka Kigongo Ferry hadi katikati ya Jiji la Mwanza ni maili 22 jumla zinakuwa maili 40 sawa na km 64.Magu mjini hadi katikati ya Jiji la Mwanza ni maili 40 sawa na km 64. Kajipange upya usikurupuke.
Hayo ndio matumizi yasiyo ya lazima ya serikaliPole sana iko propasal ya kuunda mkoa mwingine huko Mara kwa Bunda kuunganishwa na Ukerewe na Butiama na kupata mkoa mpya. Ukerewe itaondolewa Mwanza.
Sio kweli ukisema watu wa njombe mmesambaa ndio mkoa wenu upungue watu jibu ni kwamba hakuna fursa ya vijana kuishi njombe na kama ni kusambaa mikoa mingine hamuwezi kumfikia msukuma lakini bado kwenye maeneo yao ya asili idadi yao bado nikubwaKuongeza watu bila quality ni mzigo kwa taifa.Tunawashukuru Kanda ya ziwa kwa kufyatua kisawasawa lakini Sasa tuleteeni quality Sasa.Kanda ya ziwa unakuta watu wako 30 familia Moja na katika hao hakuna mtaalamu wa fani yoyote.Mbaya zaidi unawakuta wamejenga cottage Fulani za miti,mabati ya kuweka na mawe juu wanasubiri binti aolewe ndio wawe na utajiri wa Ng'ombe tu Taifa haliwezi Kupigia hatua hivi I'm sorry to say this,pelekeni Shule watoto na muuche kuozesha watoto.Tujivunie population lakini tuongeze quality.Njombe idadi ndogo lakini yenye impact.Kiuhalisia Njombe Ina watu wengi sema tumesambaa mikoa mbali mbali kukusanya Hela.
Huwezi kuijua na wala hujui tunchoongelea. Ndio tatizo la shule za Kata.Hyo 64 unakuwa ndani ya wilaya ya magu ..hata hyo 30 km unakuwa ndani ya wilaya ya magu ...mtu wa km 64 ni kupita ilungu ,magu town na masanza Kona ..ila maeneo mengine mengi ya wilaya ya magu yako ndani ya km 50... sengerema siijui vizuri siwezi izungumzia .ila nachojua sengerema sio mbali kutoka town
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuliko Dar? Labda kuliko Kinondoni kwa Mwanza yote kama Mkoa! Usilete utani kabisa na Dar! Dar inapambana na Nairobi siyo Mwanza, labda mujarubu kwa Mombasa ingawa bado hata hivyo. Tusimamie ukweli kwenye huu mjadala.na vipi kuhusu mgodi mkubwa sana wa nyanzaga, sengerema, Mwanza ukianza kufanya kazi hakika Mwanza itakuwa ya Kwanza kiuchumi mbele ya Dar.
Busega si ipo Simiyu? Tupe taarfa kamiliHujui kitu tuulize sisi tunaojua, Ipo proposal ya mkoa mpya wa Nyanza ambao utakuwa na Wilaya za Busega, Magu, Kwimba, Sengerema, Buchosa na Misungwi. Huku baadhi ya maeneo ya kata za Magu na Misungwi zikianzisha wilaya mpya ya Kisesa na kulifanya Jiji la pili kwa ukubwa nchini Tanzania (Mwanza ) kuwa na Wilaya tatu yaani Nyamagana, Ilemela na Kisesa. Wazo la Chato kuwa mkoa linakufa natural death.
ChanzoHujui kitu tuulize sisi tunaojua, Ipo proposal ya mkoa mpya wa Nyanza ambao utakuwa na Wilaya za Busega, Magu, Kwimba, Sengerema, Buchosa na Misungwi. Huku baadhi ya maeneo ya kata za Magu na Misungwi zikianzisha wilaya mpya ya Kisesa na kulifanya Jiji la pili kwa ukubwa nchini Tanzania (Mwanza ) kuwa na Wilaya tatu yaani Nyamagana, Ilemela na Kisesa. Wazo la Chato kuwa mkoa linakufa natural death.
PrivateChuo Cha serikali au private?
Chini ya carpetChanzo
Msukuma kazi zake zinajukikanaSio kweli ukisema watu wa njombe mmesambaa ndio mkoa wenu upungue watu jibu ni kwamba hakuna fursa ya vijana kuishi njombe na kama ni kusambaa mikoa mingine hamuwezi kumfikia msukuma lakini bado kwenye maeneo yao ya asili idadi yao bado nikubwa
Yaani waliiacha kuigawa tabora yenye watu zaidi ya milioni 3 .wakaenda kugawa iringa ,matokeo yake mkoa mzima wa njombe una watu sawa na wilaya ya sengerema...
Kahama inatakiwa iunganishwe na nzega ,urambo ,ushetu ,na msalala watengeneze mkoa Mpya ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Too much exaggeratingNawakumbusha Mwanza ilizaa Geita, Shinyanga ilizaa Simiyu lakini wingi wa watu kanda ya ziwa ni sababu ya kuzaana sana, kiukweli mikoa ya nyanda za juu kusini pamoja na kutafunwa sana na ukimwi lakini wanazaa kwa mpango sana kukuta familia ina watoto 5 ni bahati wakati kanda ya ziwa mji mmoja una watu 100