Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Attachments

  • Screenshot_20221103-112431.png
    Screenshot_20221103-112431.png
    169.9 KB · Views: 11
Too much exaggerating

Sent using Jamii Forums mobile app

Huwezi kuamini nina rafiki yangu anaitwa masanja yuko ifakara pale kwake anafamilia moja watu kama 60 , kwenye mji mmoja kwanza ana wake 4 watoto kwa wastani kila mke anao 7, 8, 10 halafu hao watoto wake wanaendelea kuzaa ukichukua hiyo family tree hadi ufike kwa wajukuu itakua hatari sana, kingine ni msukuma anapiga sana kazi masanja analima zaidi ya ekari 100 mpunga na mahindi ya kula huenda kulima mlimba kama ekari 20, halafu analima ekari za mpunga wa kula kwake kama ekari 30, bado analima mazao mengine kama viazi vitamu na kafuga ng’ombe wengi sana, uwezo wa yeye kuhudumia familia yake anao mkubwa sana
 
Usisahau huko kwenu njaa zimewajaa hadi mnauza wake mpate chakula.

Njaa usukumani haipo, alipo msukuma kitu njaa kinakimbia hakuna wachapa kazi kama wao, miaka yote mbeya huuza chakula kanda ya ziwa na sababu za kitaalamu ni kwamba wao wanavuna mwezi wa pili mapema, baadae wanaanza kununua kigoma, halafu wanahamia sumbawanga, halafu baadae mahindi kutoka ileje muda kama huu isongole kwenda mwanza japo ileje mahindi mengi hutoka malawi, kingine ukiwa unaenda ludewa ukifika kuanzia mlangali hadi kuvuka ludewa wao huvuna mahindi kuanzia mwezi wa tisa na kumi, hapo ukumbuke kanda ya ziwa wnanyang’anyana mazao na mkenya hapo ahueni hua nj uganda japo mwaka huu hajaingiza mahindi, kwahiyo ni mfumo wa mavuno tu sio vinginevo
 
Huwezi kuamini nina rafiki yangu anaitwa masanja yuko ifakara pale kwake anafamilia moja watu kama 60 , kwenye mji mmoja kwanza ana wake 4 watoto kwa wastani kila mke anao 7, 8, 10 halafu hao watoto wake wanaendelea kuzaa ukichukua hiyo family tree hadi ufike kwa wajukuu itakua hatari sana, kingine ni msukuma anapiga sana kazi masanja analima zaidi ya ekari 100 mpunga na mahindi ya kula huenda kulima mlimba kama ekari 20, halafu analima ekari za mpunga wa kula kwake kama ekari 30, bado analima mazao mengine kama viazi vitamu na kafuga ng’ombe wengi sana, uwezo wa yeye kuhudumia familia yake anao mkubwa sana
Hao mabwana ni wanazaa zaidi ya ukoo wa panya na simbilisi 😁😁.

Mara nyingi watu maskini na wasio na Elimu kama wa huko Lake zone ndio hufanya ngono the only leisure they can afford 😂😂
 
Njaa usukumani haipo, alipo msukuma kitu njaa kinakimbia hakuna wachapa kazi kama wao, miaka yote mbeya huuza chakula kanda ya ziwa na sababu za kitaalamu ni kwamba wao wanavuna mwezi wa pili mapema, baadae wanaanza kununua kigoma, halafu wanahamia sumbawanga, halafu baadae mahindi kutoka ileje muda kama huu isongole kwenda mwanza japo ileje mahindi mengi hutoka malawi, kingine ukiwa unaenda ludewa ukifika kuanzia mlangali hadi kuvuka ludewa wao huvuna mahindi kuanzia mwezi wa tisa na kumi, hapo ukumbuke kanda ya ziwa wnanyang’anyana mazao na mkenya hapo ahueni hua nj uganda japo mwaka huu hajaingiza mahindi, kwahiyo ni mfumo wa mavuno tu sio vinginevo
Huyo Mzee wa Geita anauza wake zake Sababu ya njaa..

Miaka yote njaa huwa Usukumani sasa wewe sijui unaongea nini.
 
Hao mabwana ni wanazaa zaidi ya ukoo wa panya na simbilisi 😁😁.

Mara nyingi watu maskini na wasio na Elimu kama wa huko Lake zone ndio hufanya ngono the only leisure they can afford 😂😂
Msukuma huku Lake zone ni kama anaisha hivi, huko kilombero/ Kilosa/ Usangu kwa ujumla akina ngosha wamemwaga mbegu sio mchezo, mpaka Zambia Kaskazini nasikia wamefika huko,
 
Kila dili hua mnapata mgao wenu hapo nawakubali mlikua nahisi wizara ya fedha mtakua na vigogo lazima tu maana kanda ya ziwa miradi hua inakimbizwa chapchap leo Songwe airport haijakamilika lakini daraja la kigongo busisi kila leo viongozi wanalitembelea yaani hua mna kauspecial fulani hivi sijui kwa nini
 
Tulia kabisa ..
Zoom hii
Nanukuu : asema miradi ikikamilika hakuna wa kushindana nayo .
20221103_184700.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Halmashauri zinajiita Manispaa ila njaa kali..

Ujenzi wa dhule ya gorofa na nyumba za walimu ndani ya Tunduma ukiendelea kwa hisani ya mapato ya ndani 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221103-190242.png
    Screenshot_20221103-190242.png
    127.5 KB · Views: 10
  • Screenshot_20221103-185612.png
    Screenshot_20221103-185612.png
    220 KB · Views: 11

Attachments

  • Screenshot_20221103-185839.png
    Screenshot_20221103-185839.png
    170 KB · Views: 16
  • Screenshot_20221103-185856.png
    Screenshot_20221103-185856.png
    47.1 KB · Views: 14
Msijisahaulishe..

Ujenzi wa Machinga Complex Tunduma,zaidi ya Bil.7 na likuwa kali kama lile la Dodoma 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221103-185548.png
    Screenshot_20221103-185548.png
    260.8 KB · Views: 11
Msijisahaulishe..

Ujenzi wa Machinga Complex Tunduma,zaidi ya Bil.7 na likuwa kali kama lile la Dodoma
Tatizo lako Huwa unaleta mapicha mapicha yasiyo hata na logic. ... hujawahi kukaa kuongea facts na critical analysis...
Ukitaka battle iende vizuri punguza hayo mapicha yako yasiyo na maana .leta hoja Jenga facts chambua Kwa kutumia figure na valid data

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanda ya Ziwa Mkajipange,Mwaka huu Tunduma itaongoza kwa mapato nyuma ya Majiji na Manispaa za Dar..

Kwa mara ya kwanza Tunduma imekusanya Bil.3.7 robo ya kwanza ya Mwaka July-Septamba huku kwa sasa ikikusanya zaidi ya Bil.1 kila Mwezi..

Kwa Mwendo huu ndio kusema by the end of June Tunduma itakusanya Zaidi ya Bil.13 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221103-190227.png
    Screenshot_20221103-190227.png
    182.4 KB · Views: 14
  • Screenshot_20221103-190201.png
    Screenshot_20221103-190201.png
    107.5 KB · Views: 11
Back
Top Bottom