Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Tatizo lako Huwa unaleta mapicha mapicha yasiyo hata na logic. ... hujawahi kukaa kuongea facts na critical analysis...
Ukitaka battle iende vizuri punguza hayo mapicha yako yasiyo na maana .leta hoja Jenga facts chambua Kwa kutumia figure na valid data

Sent using Jamii Forums mobile app
Excuses hazitakaa zikusaidie Mzee na hapa bila shaka ni maumivu yanendelea 😁😁.

Njombe imewasilisha bandiko Kwa Mji rafiki Germany kwa ajili ya miradi ya maendeleo 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221103-191014.png
    Screenshot_20221103-191014.png
    207.5 KB · Views: 10
Wadau wangu wa Njombe mje mnisaidie kidogo hapa..

Hivi ni miezi ipi Njombe huwa wanakuwa na activities za kukusanya pesa nyingi maana kuna Taarifa imenistua kwamba Kwa robo ya kwanza Njombe TC imekusanya Bil.1.3 tuu..

Njombe itaweza vipi Kufikia makusanyo ya Bil.8.4 kwa mwenendo huu? 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221103-190845.png
    Screenshot_20221103-190845.png
    57.7 KB · Views: 13
Hao mabwana ni wanazaa zaidi ya ukoo wa panya na simbilisi .

Mara nyingi watu maskini na wasio na Elimu kama wa huko Lake zone ndio hufanya ngono the only leisure they can afford
Kanda ya ziwa ndio yenye wasomi wengi hapa Tanzania. Kumbuka mwaka 1945 waafrika wawili waliingia kwenye Baraza la kutunga sheria nao ni Chief Kidaha Makwaia wa Shinyanga na Shagali Wa Kilimanjaro. Wakati huko uswekeni Njombe walikuwa bado wanatembea uchi.
 
Kila dili hua mnapata mgao wenu hapo nawakubali mlikua nahisi wizara ya fedha mtakua na vigogo lazima tu maana kanda ya ziwa miradi hua inakimbizwa chapchap leo Songwe airport haijakamilika lakini daraja la kigongo busisi kila leo viongozi wanalitembelea yaani hua mna kauspecial fulani hivi sijui kwa nini
Hakuna namna maana ni jamii kubwa
 
Kanda ya ziwa ndio yenye wasomi wengi hapa Tanzania. Kumbuka mwaka 1945 waafrika wawili waliingia kwenye Baraza la kutunga sheria nao ni Chief Kidaha Makwaia wa Shinyanga na Shagali Wa Kilimanjaro. Wakati huko uswekeni Njombe walikuwa bado wanatembea uchi.
Sie tunachojua Kanda ya Ziwa ndio inaongoza Kwa washamba na mburula hapa Tanzania..

Sasa mko mil.1 wanapatikana Wasomi 2 mnaanzaje kuongoza? Matokeo yake ndio haya Sasa mnakula Albino 😁😁😁😁..

Ujue nyie watu mna vituko Sana na bahati mbaya albinism iko Sana kwenye genes za watu wa Kanda ya Ziwa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221103-221004.png
    Screenshot_20221103-221004.png
    163.8 KB · Views: 15
Asante Sana Rais Samia 🙏🙏,sasa tuna uhakika wa kuuza parachichi China..

Sasa ni Mwendo wa kuvuna mapesa tuu kwa wakulima wa Nyanda za Juu Kusini.

Nchi 2 tuu Duniani zinaruhusiwa kuuza parachichi China,Tanzania ikiwemo.👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221104-063644.png
    Screenshot_20221104-063644.png
    263.8 KB · Views: 16
  • Screenshot_20221104-061104.png
    Screenshot_20221104-061104.png
    157.1 KB · Views: 17
China katoa soko la Soya kwa Tanzania.

Ikumbukwe kuna Wachina walikuja Mbeya kuwekeza zaidi ya Bil.500 kwenye kilimo Cha kisasa Cha soya sasa soko ni uhakika👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221103-223336.png
    Screenshot_20221103-223336.png
    97 KB · Views: 11
  • Screenshot_20221103-223319.png
    Screenshot_20221103-223319.png
    236.8 KB · Views: 21
Wadau wangu wa Njombe mje mnisaidie kidogo hapa..

Hivi ni miezi ipi Njombe huwa wanakuwa na activities za kukusanya pesa nyingi maana kuna Taarifa imenistua kwamba Kwa robo ya kwanza Njombe TC imekusanya Bil.1.3 tuu..

Njombe itaweza vipi Kufikia makusanyo ya Bil.8.4 kwa mwenendo huu? 👇
Mwezi wa Saba,Nane na Tisa sio miezi ya fedha sana kwa kuwa vile vyanzo vya halimashauri Huwa Bado kuanza kumbuka Njombe makusanyo makubwa hutoa kwenye Agro- sector.Lakini kuanza October Hadi May mapato yanaongezeka sana.
 
🙏🙏 Ndio nilitaka kufahamu hapa maana hayo mapato ya robo ya kwanza yamenistua..
 
Sie tunachojua Kanda ya Ziwa ndio inaongoza Kwa washamba na mburula hapa Tanzania..

Sasa mko mil.1 wanapatikana Wasomi 2 mnaanzaje kuongoza? Matokeo yake ndio haya Sasa mnakula Albino ..

Ujue nyie watu mna vituko Sana na bahati mbaya albinism iko Sana kwenye genes za watu wa Kanda ya Ziwa
Kanda ya Ziwa ndio pekee iliyotoa marais wawili katika nchi hii. Je, huko kwenu livingstone hills mmetoa nani ??
 
Back
Top Bottom